komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bridge sio utajiri


Tunazo tangia 80s na wala haturingi
Bridge sio utajiri


Tutawauzia msijalikuelectrify sgr si gharama kubwa ivo....tatizo ipo pale pa reliable electricity ambayo lazma tuifanyie kazi










2018Mchina aliwapa proforma invoice ya project wakapoteana, walifikiri sababu Tanzania imeweza basi ni rahisi tu hata wao wanamudu


Nmekuuliza unataka battle ya bridge? Jibu swaliBridge sio utajiri
Tunazo tangia 80s na wala haturingi










Tukileta business daily africa mmasema ni ya mkenya na kaandika mkenyaMmeanza kushindwa kulipa madeni au huna habari
![]()
Kenya gets G20 six-month debt repayment break
Kenya's request for debt service suspension has been approved by the Paris Club of major economies.www.businessdailyafrica.com


Unajua maana ya futureKwahiyo hamkuheshimu design au sio? Ss mnalia lia nn wkt ndo mlivyo hamuheshimu tax payers money, yn mmejenga diesel sgr kwa gharama za electric sgr![]()
Kwahiyo mbasubiri future au sio, wkt huo tutakuwa tushatawala kila kitu, simply mtakuwa mshachelewaUnajua maana ya future







Ethipia watazalisha si wanazalisha the Grand Renaissance damn haijakamilika!reli yetu imechapa kazi kwa mda bila matatizo kama reli ya Ethiopia - Djibouti ambayo iko electrified.....Ikumbukwe Ethiopia wanazalisha umeme mwingi kuliko nchi yeyote ukanda huu.Only time will tell between kenya na Tanzania nani amekurupuka
Bridge moja tu ndo inawapa kiburi hivo 🚮🚮Nmekuuliza unataka battle ya bridge? Jibu swali![]()
Tumechelewa nikama yetu haifanyi kwa sasa nkt! Nyi hata ndo mko nyumaKwahiyo mbasubiri future au sio, wkt huo tutakuwa tushatawala kila kitu, simply mtakuwa mshachelewaView attachment 1682605View attachment 1682606
Alicho maanisha ni ethiopia ina umeme mwingi na electric train yao inasumbue sembuse yenyuEthipia watazalisha si wanazalisha the Grand Renaissance damn haijakamilika!
Kawaulizeni ethiopiaYaani ikiwekwa umeme itakuwa ndio the world's most expensive railway ever na bado itaendelea kwenda hivyo hivyo kama konono au hata ikapungua speed kidogo![]()


Mbona una hasira mungiki?!..Sema wewe ni mshamba. Ulizaliwa gongo la mboto utazeekea huko na ni huko huko utakufia. Toka nje ya Dar ujue kuna dunia nje ya hiyo glorified fishing village
Umeme wetu upo stableAlicho maanisha ni ethiopia ina umeme mwingi na electric train yao inasumbue sembuse yenyu
Tuta tunaWaache mkuu tutawauzia, mbn mbele ya safari tunaenda kuitawala Kunyaland, tutawauzia kuanzia food stuffs, manufacturing products, umeme, gas etc.


Mbali na umeme pia treni za mizigo zipo za kutumia diselKawaulizeni ethiopia
Kwn nyie mna umeme kuwazidi ethiopia lkn bado kitu kinapata shida kuendeshwa on a daily basis...
Mwisho wake tutauona tu wakurupukaji
Mna umeme gani basi, ethiopia kalikoroga na sai analinywaNyota njema huonekana asubuhi mzee au hujui hilo?
Ni nini tena iko hapo apart from brt? Ama unataka tujenge daraja juu ya uhuru Park Nairobi? Hata joburg haina bridges but does that mean Dar is better than Jozi just because Dar kuna bridges? Or did you forget that Nairobi is an inland city?
Lazima ifuate nyayo ya mwenzake ethiopia djibout tuKwahiyo mbasubiri future au sio, wkt huo tutakuwa tushatawala kila kitu, simply mtakuwa mshachelewaView attachment 1682605View attachment 1682606

