Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajiuliza tunawapitaje Toursit revenue

Mambo yenyewe ndo kama haya karbu kila siku kuna Ndege kubwa mbili 777 au 767 kutoka miji mbali mbali ya Russia nyngne To znz via Dar nyngne direct

Plus KLM imeongeza routes nyngne ya Southafrica Joburg au Capetown via Dar ..not sure ni passenger ,cargo or Combi

Note the equipment used
B777W and 787-9 for KLM

777w or 767 for charter planes to russina

A350-900 for Qatar or 787-8 via znz and kia
IMG_0259.png

IMG_0258.png

IMG_0260.jpg

IMG_0261.jpg

IMG_0262.jpg
 
Wanajiuliza tunawapitaje Toursit revenue

Mambo yenyewe ndo kama haya karbu kila siku kuna Ndege kubwa mbili 777 au 767 kutoka miji mbali mbali ya Russia nyngne To znz via Dar nyngne direct

Plus KLM imeongeza routes nyngne ya Southafrica Joburg au Capetown via Dar ..not sure ni passenger ,cargo or Combi

Note the equipment used
B777W and 787-9 for KLM

777w or 767 for charter planes to russina

A350-900 for Qatar or 787-8 via znz and kia
View attachment 1682449

View attachment 1682447
View attachment 1682451
View attachment 1682452
View attachment 1682453
Yaani hii nchi imechangamka kila mahali, kwa wakenya hizi flights zote zingeenda Nairobi ty
 
Wacha kelele utafiti umesema nyinyi ni maskini hivo kelele mingi toka mtandaoni nenda mkajenge inchi.. hata mkijidanganya hapa mpige kelele kutuliko muone mko juu bado ukweli utabaki ule ule hamwezi badilisha ukweli sababu umejidanganya mtandaoni eti mumeshinda kenya... kizuri ni mfanye bidii mtupite halafu itajionyesha tu yenyewe si lazima museme. Kwa sasa nafwata utafiti na hakuna kelele utapiga itanifanya niamini vingine
Utafiti umetolewa na nani??🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣

Wacha kujiaibisha I think hujui how this works. South africa si iko developed but iko na a very high unemployment rate of 29% kenya we at 17% but does that mean kenya is better than SA???? No. this how it works ... kwanza as a country mkiwa a third class wananchi Huwa any job goes, wanaeza fanya kazi yoyote so wengi wanafanya hata kama ni jua kali so kunakuwa na low unemployment watu wengi wana kazi(mahali tanzania na Uganda wako sasa). then as a country sababu ya watu wengi kufanya kazi you strive to middle class economy. Mkiwa middle class unapata youths wengi wanasoma demand for good and better job rises watu wanaanza kubagua kazi hawataki jua kali jobs wanataka white collar jobs so people become highly unemployed sababu watu wengi wanabagua kazi(mahali kenya, south africa na Nigeria ziko sasa) The moment kumekua na that demand and you solve it by creating many high end jobs sasa you comfortably start achieving first class economy status(mahali Europe na japan ziko sasa) hope that helps you understand
 
Daah umeongea kama wakenya hawashindii Chapati na maharage yasioiva...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its not worth to discuss about freedom of mind with slaves like kunyans
Ni ngumu sana kumuelewesha mtu ambae amelemazwa akili kw pumba za ujamaa..
Hku akijua ipo siku tu mkuu wa mkoa atamcharaza viboko vya matako atakavyo anytime

Watu wa freedom of mind mpo
 
Hawa watu wanafikiri kwa kutumia akili ndogo sana, Yaani fahari yao ni kupiga pictures za wazungu wakiwa wamebeba madaftari

Hawajui potential kubwa wamezikalia wenyewe, wao wakae wafanye analysis ni kiasi gani cha

Edible oil
Sugar
Rice
Maize
Clothing
Nk wanaimport kutoka nje, utakuta ni billions of money is going out than what all the sum comes from those books wanazotutambia hapa wamezinyanyua juu eti export agreements

Baada ya Magufuli kuona hilo ndio maana saivi kaunda task forces kuhakikisha bidhaa zote tunazoagiza kwa wingi tunaanza kuzizazilisha wenyewe as soon as possible

Ndio maana unaona mashamba ya chikichi yamefunguliwa, mashamba ya ngano yanafunguliwa, miwa sababu ya sukari, yaani ni minimization ya importation kwanza kabla ya kufikiria sana kuhusu exportation

Wakenya hiyo akili hawana, wanafurahi kuona box mbili za made in Kenya kwenye shelves za wazungu lakini kuna millions of made in China, UK, US kwenye kila Kenyan households, that's insane. 🚮
Our manfacturing industry is larger than yours and you here talking about kuzalisha do you really consider facts ama unaongea tu kufurahisha umati. Hata hiyo task force unaongelea kenya ilianzisha BUY KENYA BUILD KENYA kitambo saaaana wacha kupost vitu bila research utafanya tuanze kupuuza kila unachokisema kama porojo sababu hauresearch kabla ya kupost huku
 
Back
Top Bottom