Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reminding you kenya we still the biggest producers of the future energy (geothermal energy) in africa least you forget
Screenshot_20210120-122422_Twitter.jpg
 
Umesa
Hio windpower plant ya Lake Turkana inaproduce 310 MW. Kuna nyingine Kilifi ya 100 MW imekamilika tunangojea tu rais aizinduwe mwaka huu. Ngong hills ina zaidi ya 30 MW. Kenya inaproduce zaidi ya 340 MW of windpower. Hii 100 MW kilifi windpower ikizinduliwa basi Kenya itakuwa inaproduce 450 MW of windpower. Halafu fahamu kuwa Kenya ndio nchi ya pekee Afrika inayozalisha Geothermal power.
Umesahau na ile ya kipeto (100Mw)pale kajiando
 
Jamaa kichwani hopeless kabisa.
Hajui hata maana ya:-
1. Island
2. Lagoon
3. Cliff
4. Bay
Anatakiwa aende kusoma geography upya
We jamaa ni bogus kuwai kutokea hapa jukwaani, Mombasa ikwapi na hicho kisiwa kikwapi? View attachment 1681742
Sasa nyie mnabisha nini[emoji23][emoji23]
Mombasa kuna island na mainland km hamlijui hilo..
Yani mnajitia kujua hadi mnaonekana mapimbi walai
 
Naton Jr Venus Star leo mumejiaibisha sana mbele ya kila mtu. Eti mnasema kwamba Mombasa sio kisiwa? Halafu mnapingana na Mkenya. Kati ya Mkenya na Mtanzania nani anajua vitu vingi kuhusu Kenya?

Nataka ng'ombe yoyote ile kutoka Lazyland ipinge hii picha kwamba Mombasa sio kisiwa. Hii sio google maps ya kuchorwa. La hasha. Hii nimeenda kuwatafutieni satellite images ya Mombasa island. Sasa nangojea mtu mwenye ubavu wa kunipinga. Pinga satellite image kama wewe ni mwanaume.

View attachment 1681762
Na hajui hio island karibu yote Ni CBD ya mombasa
 
Back
Top Bottom