Naona wewe
Samaboy unatokea Mwanza ndio maana hukufurahia niliposema kwamba Mwanza haistahili kulinganishwa na Mombasa.
Hebu weka video ya Mwanza hapa nione hadhi yake.
1. Airport ya Mwanza tayari ni banda la kuku lakini mnajenga nyingine mpya. Mkimaliza kujenga hio airport na ipate wasafiri wengi kama ya Mombasa basi mje hapa tufanye battle. Airport ya Mombasa inapokea abiria zaidi ya milioni moja kila mwaka. Airport ya Mombasa sio airport ndogo maana isipokuwa Julius Nyerere hakuna airport nyingine TZ inayoipiku Moi airport Mombasa kwa idadi ya abiria.
2. Bandari ya Mombasa ni ya tano Africa tukizingatia idadi ya mizigo inayopakuliwa kila mwaka.
View attachment 1681588
Kwa hivyo kwenye airport na port Mombasa inaipiga Mwanza bila huruma.
3. Hata kwenye barabara Mombasa ina barabara nzuri kushinda Mwanza.
4. Mombasa ina SGR wakati Mwanza hata mipango hakuna za kuleta SGR huko.
5. Hata kwenye tourism, Mombasa ina 4-star na 5-star hotels nyingi kushinda Mwanza. Hata kwenye beach Mombasa ina beach nzuri kushinda Mwanza. Yaani beach ya Lake Victoria ndio unataka kulinganisha na beach ya Indian ocean?
Cc
Geza Ulole Naton Jr Venus Star