Wewe umeona CBK (Central Bank of Kenya) tower inavyofanana ama unaropokwa tu? Punguza uropokaji.View attachment 1680878View attachment 1680879View attachment 1680881
Tanzania central bank Tony254 kwenye masuala haya Hamtuwezi kamwe
Wewe kwa akili yako unaona kama jengo hilo bovu la Mwanza linaweza kukimbizana na jengo la Moi airport?View attachment 1680882
Mombasa international airport jengo la abiria vs mwanza airport jengo la mizigo👇View attachment 1680883View attachment 1680884View attachment 1680885ikija kwenye vitu vya msingi plz Kenyans mtuheshimu Tony254 upo mzee.?
Linganisha hilo jengo fupi la TCRA na jengo la KRA la times towers. One of the tallest buildings in East Africa. Kenya sio size yenu
Halafu hili gofu halina madirisha? Nyinyi mna mchezo sana. Halafu jengo lenyewe linafanana vibaya. Heri mngoje hio terminal mpya inayojengwa kwa kutumia chuma za Kenya. Angalau hilo terminal mpya litakuwa modern.View attachment 1680882
Mombasa international airport jengo la abiria vs mwanza airport jengo la mizigo👇View attachment 1680883View attachment 1680884View attachment 1680885ikija kwenye vitu vya msingi plz Kenyans mtuheshimu Tony254 upo mzee.?
Sasa mbona jengo lenyewe ni block tupu .TCRA tower inalizidi hili jengo lenu kwa mbali sana Tony254Linganisha hilo jengo fupi la TCRA na jengo la KRA la times towers. One of the tallest buildings in East Africa. Kenya sio size yenu
View attachment 1680888View attachment 1680889
Kwani uzuri wa jengo ni urefu au facade? TCRA ni mwendo wa glass wakati KRA ni concrete!Linganisha hilo jengo fupi la TCRA na jengo la KRA la times towers. One of the tallest buildings in East Africa. Kenya sio size yenu
View attachment 1680888View attachment 1680889
Tatizo dada zake nao ni majambazi ndo maana hawezi kuahughulikia wizi!
Hawa tulishawapiga mapema sn kwenye hii sekta mkuu




Wapi Mombasa cargo terminal?Halafu hili gofu halina madirisha? Nyinyi mna mchezo sana. Halafu jengo lenyewe linafanana vibaya. Heri mngoje hio terminal mpya inayojengwa kwa kutumia chuma za Kenya. Angalau hilo terminal mpya litakuwa modern.
Kesho atauliza tena, ana memory ndogo sn uyo jamaaView attachment 1680869
Wizara ya ardhi nymba na maendeleo ya makazi dsm hiyo. Tony254 tuonyeshe ya KE



Hehehehee hilo ni jengo la mizigo, humo ni barafu kwa kwenda mbeleHalafu hili gofu halina madirisha? Nyinyi mna mchezo sana. Halafu jengo lenyewe linafanana vibaya. Heri mngoje hio terminal mpya inayojengwa kwa kutumia chuma za Kenya. Angalau hilo terminal mpya litakuwa modern.




hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni villageWhat about Tundwi in Kigamboni Dar es Salaam below? Is Tundwi in Dar also not a village?![]()
![]()
![]()
View attachment 1680796View attachment 1680797View attachment 1680798
Hii ndio jiji inashindana na Nairobi!![]()
![]()
![]()
Alafu utasikia kelele za "density" hapa![]()
![]()


hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......

mbona hauzungumzii upana......TCRA tower ina urefu wa mita ngapi? Sidhani kama hata imefikisha mita mia moja urefu. Usilinganishe Times tower ya KRA na utopolo wa TCRA.



Wewe usicheze na KenyaWapi Mombasa cargo terminal?
Naona PAX terminal imeezekwa vigae! Moi Airport is a TB house! hii ni airport au fortified prison?
![]()
Wapi Mombasa cargo terminal?
Naona PAX terminal imeezekwa vigae! Moi Airport is a TB house! hii ni airport au fortified prison?
![]()




sio siri hawaitendei kabisa haki mombasa .....hiyo Moi airport ipo so ugly