President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,353
Huu sasa ni upumbavu. Hicho ni kisiwa!?Hakuna kitu km mombasa lagoon [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mombasa island tatizo unayasema wewe hayoView attachment 1681962
Huu sasa ni upumbavu. Hicho ni kisiwa!?Hakuna kitu km mombasa lagoon [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mombasa island tatizo unayasema wewe hayoView attachment 1681962
Kwn hapo nimeandika mimi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Huu sasa ni upumbavu. Hicho ni kisiwa!?
Huko honey per kg ni pesa ngapi?we even have a chance to lead in rice and honey production!
Hebu check visiwa vilivyo Mombasa doroKwn hapo nimeandika mimi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1681968
Go to that map and zoom in...
United World College East Africa (UWCEA) ni international school. Ndugu yangu alisoma hapo! Wanafunzi na walimu wa Mataifa mbalimbali wamerudi kwa ajili ya masomo Kwa hiyo sishangai kama baadhi yao wameleta ugonjwa!Can someone explain this..... ama ni kinaya charges abunuasi kimeanza 🤔
View attachment 1681976
Naona bagamoyo hapo, vipi kuhusu ile port kubwa africa 😆 😆
Wapinge nyungu haraka na kutumia tangawizi. Waache uzungu.Can someone explain this..... ama ni kinaya charges abunuasi kimeanza 🤔
View attachment 1681976
The Island mpaka u zoom ndio uone. Hahahhaaha ujue hakuna kitu hapo. Island inaonekana because is surrounded by water.Go to that map and zoom in...
Ni kweli. Mombasa zamani ilikuwa ni hako kakisiwa tu. Hako kakisiwa ndio Mombasa original. Hata ndio maana CBD iko hapo. Hata mahali panapoitwa old city iko hapo.Tony254 mombasa zama zile ilikua ni hako kipande pekeake tu(island) ilikua ikiitwa mwambao..
Hko kwngine ilifanya ku expand tu, ukitaka kulijua hilo angalia historical site km vile majengo yote ya wareno, omans na vinginevyo
According to who ??? Mama ngina or?🤣🤣Zanzibar is not tanzania