Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.

Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza.

Cc Venus Star
Dah!! Wewe jamaa hebu pumuzika kwanza. Akili zikae vizuri.
 
Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.

Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza

Cc Venus Star
Mombasa ni kisiwa Bwn Naton Jr ! the same way Diani Beach haiko Mombasa county bali Kwale county Bwn Tony254 ! ukweli unabaki ukweli!
 
Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.

Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza

Cc Venus Star
Hebu niambie hiyo Mombasa island ipo ndani ya ocean or lake. Then name the name of that lake or ocean.
.
 
Sitaki kufunzwa geography na a nobody like you. Niletee source yoyote inayosema kwamba Mombasa island sio island. Nijisomee mwenyewe. Ninaweza kujisomea. Kilaza kama wewe huwezi kunifunza geography. Nipe source nijisomee.
 
There level of education ndo kiasi iko chini ndo maana hatuwezi kuelewana
Screenshot_20210120-103956_Chrome.jpg
 
Sitaki kufunzwa geography na a nobody like you. Niletee source yoyote inayosema kwamba Mombasa island sio island. Nijisomee mwenyewe. Ninaweza kujisomea. Kilaza kama wewe huwezi kunifunza geography. Nipe source nijisomee.
tuletee map inayosema diani beach ipo Mombasa!
 
Back
Top Bottom