Tanzanite ni gamestone na si rare metal ndo maana huwezi kuikuta ndani ya periodic table kwenye group ya rare metals!Hizi habari majirani wakisikia wanaharisha kwa uchungu🙂wakumbushe pia Tanzania ndo nchi pekee duniani amabayo iko na deposits za rare mineral, kama vile Tanzanite and others soon to be discovered 🙂
Mkenya mwenzenu huyo apo
Mombasa kumbe ni kisiwa?Ni sawa. Wacha mjadala uishe. Lakini nataka ujuwe kwamba mimi siikejeli Mwanza. Mwanza ni mji mzuri na siku moja nitakuja kutembea huko. Lakini likija kwenye swala la battle basi mimi naona hata afadhali zanzibar vs Mombasa maana hizi islands mbili zilikuwa zinamilikiwa na Sultan kutoka Oman na zina fanana kwa mambo mengi. Zote ziko kando mwa Indian ocean,zote zinapokea watalii wengi, vyote viwili ni visiwa e.t.c Anyway uwe na siku njema ndugu.
Wind power ina contribute Megawatts ngapi kwenye Grid yenu ya Taifa...Kenya imeappear mara mbili kwenye hii list. Largest producer of geothermal power in Africa and largest producer of windpower in Africa. Nice one.
Cc Geza Ulole
Diani beach is in Kwale county and NOT Mombasa county! BTW the whole of mombasa haina 5 star hotel! Mombasa ni jina tu! BTW mapato ya resort hayazidi $2 mln kwa mwaka! Wakati mgodi au refinery inatema mamilioni ya US $!Hahaha. Hapa sikubaliani na wewe bro. Beach kama haina mchanga ni shamba ya kupandia mimea. Beach zinazoheshimika zote ni za mchanga. Kwa mfano hapa Kenya tuna beach fulani ambayo imezoea kushinda international awards kila wakati. It is one of the best beaches in Africa. Inaitwa Diani beach Mombasa. Mwaka wa 2019 ilishinda tuzo katika kundi la "Africas leading beach destination"
![]()
Africa's Leading Beach Destination 2019
World Travel Awards is proud to announce the 2019 winner for Africa's Leading Beach Destination as Diani Beach, Kenyawww.worldtravelawards.com
Mkuu hata beach za Zanzibar zimeshinda beach za Mwanza kwa mbali. Beach za Indian ocean ni kali sana mzee. Huwezi kuzilinganisha na shamba za lake Victoria
Hiyo wind power inachangia chini ya Megawatt 6 na ilijengwa kwa dola million 18...Kenya imeappear mara mbili kwenye hii list. Largest producer of geothermal power in Africa and largest producer of windpower in Africa. Nice one.
Cc Geza Ulole





. Alafu bado unajisifia daah...Kwani ulikuwa hujui kwamba Mombasa ni kisiwa? Japo kuna maeneo mengine ambayo yapo mainland lakini Mombasa ni kisiwa. Hata ukiangalia kwenye Google maps utaona kuwa ni kisiwa.Mombasa kumbe ni kisiwa?
Mombasa ilikuwa na maliwali chini ya mfalme/sultan wa Zanzibar!Rais wa mombasa wa kwanza alikua nani vile
Nionyeshe walipata uhuru lini na pesa yao ilikua gani..
Njoni hku kuna jamaa kaumie aisee
Sawa basi.Diani beach is in Kwale county and NOT Mombasa county! BTW the whole of mombasa haina 5 star hotel! Mombasa ni jina tu! BTW mapato ya resort hayazidi $2 mln kwa mwaka! Wakati mgodi au refinery inatema mamilioni ya US $!
Hio windpower plant ya Lake Turkana inaproduce 310 MW. Kuna nyingine Kilifi ya 100 MW imekamilika tunangojea tu rais aizinduwe mwaka huu. Ngong hills ina zaidi ya 30 MW. Kenya inaproduce zaidi ya 340 MW of windpower. Hii 100 MW kilifi windpower ikizinduliwa basi Kenya itakuwa inaproduce 450 MW of windpower. Halafu fahamu kuwa Kenya ndio nchi ya pekee Afrika inayozalisha Geothermal power.Hiyo wind power inachangia chini ya Megawatt 6 na ilijengwa kwa dola million 18...
. Alafu bado unajisifia daah...
Mungu awasamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kisiwa!?Kwani ulikuwa hujui kwamba Mombasa ni kisiwa? Japo kuna maeneo mengine ambayo yapo mainland lakini Mombasa ni kisiwa. Hata ukiangalia kwenye Google maps utaona kuwa ni kisiwa.
We unaumwa kweli, kwa hiyo na Kigamboni ni kisiwa?Kwani ulikuwa hujui kwamba Mombasa ni kisiwa? Japo kuna maeneo mengine ambayo yapo mainland lakini Mombasa ni kisiwa. Hata ukiangalia kwenye Google maps utaona kuwa ni kisiwa.
Nenda kwenye google maps mzee. Ama type neno "Mombasa island". kwenye google.Unajua maana ya kisiwa!?
Vyanzo vyote hivyo production charges zake ni pasua kichwa ndio maana umeme wenu ni ghali mara 5 ya TanzaniaHio windpower plant ya Lake Turkana inaproduce 310 MW. Kuna nyingine Kilifi ya 100 MW imekamilika tunangojea tu rais aizinduwe mwaka huu. Ngong hills ina zaidi ya 30 MW. Kenya inaproduce zaidi ya 340 MW of windpower. Hii 100 MW kilifi windpower ikizinduliwa basi Kenya itakuwa inaproduce 450 MW of windpower. Halafu fahamu kuwa Kenya ndio nchi ya pekee Afrika inayozalisha Geothermal power.
We unaumwa kweli, kwa hiyo na Kigamboni ni kisiwa?
Unajua maana ya kisiwa!?