Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vyanzo vyote hivyo production charges zake ni pasua kichwa ndio maana umeme wenu ni ghali mara 5 ya Tanzania
We are still the biggest windpower producers in Africa and the biggest geothermal power producers in Africa. Nyie vilaza wengine mnaweza kuenda kulilia chooni.
 
Hio windpower plant ya Lake Turkana inaproduce 310 MW. Kuna nyingine Kilifi ya 100 MW imekamilika tunangojea tu rais aizinduwe mwaka huu. Ngong hills ina zaidi ya 30 MW. Kenya inaproduce zaidi ya 340 MW of windpower. Hii 100 MW kilifi windpower ikizinduliwa basi Kenya itakuwa inaproduce 450 MW of windpower. Halafu fahamu kuwa Kenya ndio nchi ya pekee Afrika inayozalisha Geothermal power.
Wind Power ya Turkana ime cost 800 USD million for Wind power...
, Daah Wakenya... Alafu ni private owned

Si ajabu you are poor...

Wenzenu tunainvest kwnye Energy ambayo ni less costful per unit price...

Ulizia Historia ya Bwawa la china linaitwa Three Gorge Dam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni bogus kuwai kutokea hapa jukwaani, Mombasa ikwapi na hicho kisiwa kikwapi?
2030308000191.jpg
 
We are still the biggest windpower producers in Africa and the biggest geothermal power producers in Africa. Nyie vilaza wengine mnaweza kuenda kulilia chooni.
Biggest producer of what you can't afford...

Nchi maskini kama Kenya mna kurupuka kuinvest kwenye hizo Renewable Energy...

Acheni Ujinga mataifa yaliondelea na yanayojitambua yaanza kuwekeza kwanza kwenye umeme wa uhakika na nafuu then wanakuja kwenye nishati mbadala...

China, US, UK wana vinu kibao vya Nyukila na Mabwawa makubwa makubwa... Alafu wameshajitoa kwenye mikataba ya Carbon emission alafu nyie mnakimbilia huko...

You guys mnahitaji reforms Serikalini na Wananchi, pengine hiyo miradi ni ya upigaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wind Power ya Turkana ime cost 800 USD million for Wind power...
, Daah Wakenya... Alafu ni private owned

Si ajabu you are poor...

Wenzenu tunainvest kwnye Energy ambayo ni less costful per unit price...

Ulizia Historia ya Bwawa la china linaitwa Three Gorge Dam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio $700 million ni pesa ya investors. Serikali ya Kenya haijatoa hata shilingi moja hapo.
 
We jamaa ni bogus kuwai kutokea hapa jukwaani, Mombasa ikwapi na hicho kisiwa kikwapi? View attachment 1681742
Umesoma article niliyokuwekea? Kama hujasoma yangu mbona nisome yako? Kama unapuuza yangu mbona nisipuuze yako? Halafu usidhani kwamba kila mtu anakuja hapa kufanya mzaha. Kama hutaki kujifunza jambo jipya pia sawa.
Ndio hii map ya google maps. Ukipinga hii utakuwa wewe ni kichaa. Mimi sio wazimu ninaposema kwamba Mombasa ni kisiwa. Wewe ndio unajiaibisha hapa. Mimi ninajua ninachosema.
images (23).jpeg
 
View attachment 1681744
Hahahahaha sasa hicho ndio kisiwa!? Seriously!?
 
Umesoma article niliyokuwekea? Kama hujasoma yangu mbona nisome yako? Kama unapuuza yangu mbona nisipuuze yako? Halafu usidhani kwamba kila mtu anakuja hapa kufanya mzaha. Kama hutaki kujifunza jambo jipya pia sawa.
Ndio hii map ya google maps. Ukipinga hii utakuwa wewe ni kichaa. Mimi sio wazimu ninaposema kwamba Mombasa ni kisiwa. Wewe ndio unajiaibisha hapa. Mimi ninajua ninachosema.
View attachment 1681744
Siku nyingine uwe unasema Mombasa region au Mombasa city got an island called Mombasa Island which is a 5 by 3 km in size within Mombasa borders

Ukiwaambia watu eti Mombasa ni Island ya ukubwa wa 5 by 3 kilometres unaonekana namna gani ulivyo kubwa jinga and of course na elimu ya Kenya ni trash 🚮🚮🚮 we all know!
 
Naton Jr Venus Star leo mumejiaibisha sana mbele ya kila mtu. Eti mnasema kwamba Mombasa sio kisiwa? Halafu mnapingana na Mkenya. Kati ya Mkenya na Mtanzania nani anajua vitu vingi kuhusu Kenya?

Nataka ng'ombe yoyote ile kutoka Lazyland ipinge hii picha kwamba Mombasa sio kisiwa. Hii sio google maps ya kuchorwa. La hasha. Hii nimeenda kuwatafutieni satellite images ya Mombasa island. Sasa nangojea mtu mwenye ubavu wa kunipinga. Pinga satellite image kama wewe ni mwanaume.

images (24).jpeg
 
View attachment 1681762
LOL so where's Nyali, ask for a friend 🤔
 
Were jamaa. Hebu nenda kasome maana ya kisiwa kwanza ndio ulete ubishi hapa.

Hayo maji yaliyoingia nchi kavu na kujitenga inaitwa lagoon
Also ardhi iliyoingia kwenye maji inaitwa peninsula
Hii hapa ndio ramani ya Mombasa iliyokamili
 
Siku nyingine uwe unasema Mombasa region au Mombasa city got an island called Mombasa Island which is a 5 by 3 km in size within Mombasa borders

Ukiwaambia watu eti Mombasa ni Island ya ukubwa wa 5 by 3 kilometres unaonekana namna gani ulivyo kubwa jinga and of course na elimu ya Kenya ni trash 🚮🚮🚮 we all know!
Wewe ulikuwa unapinga kwamba Mombasa ni island. Hukuwa unajua kwamba kuna kitu kinachoitwa Mombasa island. Halafu kwenye elimu hata usiende huko maana hio discussion tulishamaliza. Leo nimekufunza jambo moja ambalo hukuwa unalijua.
 
Una elimu gani sasa wewe?
Hujui hata Mombasa boarders ni zipi, hicho ki lagoon cha 5 by 3 km ndio Mombasa city?

Kuwa mpole tukupe shule wewe an empty set!
 
Kwa sababu Mungu amewabariki na rasilimali nyinyi ndio mlikuwa mnastahili kuongoza East Africa kiuchumi. Hata ni aibu sana kwenu kwamba nchi ambayo 75% ni jangwa kama Kenya inawapiga kiuchumi. Kenya hata haina minerals zozote za maana. Hata gold industry yetu ni ndogo sana kushinda yenu. Sisi tunachimba dhahabu kidogo sana kwa sababu Mungu hakutubariki na dhahabu kibao kama nyinyi. Sisi tuna kampuni za mining mbili kubwa pekee na mining industry yetu inagenerate revenue kidogo sana. Kampuni moja inachimba titanium ores na nyingine inachimba soda ash. Yaani ndio maana huwa tunawaita Malazy maana kulingana na rasilimali mliobarikiwa nayo nyinyi ndio mnastahili kuwa na Gdp kubwa. Wacha tuone kama haya makampuni yatabadilisha mambo. Lakini muwe na aibu kidogo kwamba nchi nusu size yenu, jangwa karibu yote, madini hakuna, population ndogo kushinda yenu bado inawachapa kwenye Gdp. Hio sio lazyness? Fanyeni kazi mje mtupite maana hamfai kuwa nyuma yetu ikiwa mna madini zote na mna amani. Kuweni serious hakuna kitu cha kusherehekea hapa, bali mnastahili kuwa na huzuni kwamba mumekuwa mkilala kwa miongo mingi sana. Nyinyi mnastahili kuwa mnakimbizana na SA lakini sasa mnafanya catch up na Kenya, nchi ambayo haina madini isipokuwa rasilimali ya watu. Serikali ya Kenya inategemea ubongo na nguvukazi ya watu wake ili kujipatia ushuru. Kwa sababu hatuna madini, tuna watu na hawa watu ndio wanaofanya kazi na kulipa ushuru na kujenga uchumi. Hawa watu ndio wanaoanzisha makampuni yanayojenga uchumi. Kwa sababu Kenya inategemea watu wake kama rasilimali ya nchi inabidi serikali itilie maanani masomo ili watu hao wawe na uwezo wa kuchangia vilivyo kiuchumi. Wakenya wengi Wameenda ulaya kufanya kazi na kutuma nyumbani pesa. Hii yote ni bidii ya mchwa ambayo lazima Wakenya wafanye maana hatuna madini na serikali yetu sio ya ujamaa, haitupatii vitu vya bwerere kama huko kwenu. Hapa kila mtu lazima afanye kazi maana serikali haitakupatia kitu chochote bure isipokua masomo. Jambo hilo linalazimisha kila Mkenya kufanya kazi kwa bidii. Huko kwenu shamba ni ya bwerere, afya ni ya bwerere, maji ni ya bwerere, masomo ni ya bwerere mbona usiwe lazy? Huwezi kujua kujitafutia ikiwa unapewa kila kitu bila malipo.
Heheheheee kilio kikuu hiki, mbn mnaanza kutii mapema hv? Suala la kuipita Kenya kwenye GDP ni jambo la muda tu, tena sio kwmb tutaipita kwa kdg bali itakuwa kuipita kwa kuongeza zero mbele
 
Back
Top Bottom