Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo tuusan ukisoma comment yake unaweza kudhani kwamba Tanzania imeendelea kushinda Kenya. Hata nimeshindwa kumjibu
Just the same way they believe that Dar is more developed than Nairobi! 😂 😂 They are living in utopia but they really need to wake up from that dream
 
Hii video ni baada ya katiba mpya kuanza kutumika. Kwa hivyo video ni irrelevant. Hatukujifunza kutoka kwenu Malazy. Tulijifunza kutoka nchi zenye heshima kama Marekani.
mmenda kujifunza Marekani kuacha kutumia flying toilets? Nini mnaweza kujifunza Marekani kwenye mambo ya local authorities? Ni sawa elementary students waende study tour Cambridge University, that's laughable
 
Kibera mnaionea sana 89% ya Kenya ni slums

Zipo slums kubwa zaidi ya kibera 15 Nairobi tu bado counties nyingine
Actually it's not 89%. It's 100% 😂 😂
Happy now bongolala?
 
Kenya has had the ministry of local government from way back when I was still a child. I remember people like Musalia and President Uhuru being local government ministers in the past. It was just renamed devolution ministry when Uhuru took over power. These bongolalas are in a dream of their own 😂
Kuwa named local government is not an issue, mbona hata mna barabara mnaita hyper mega super highway lakini ni utopolo mtupu
 
kwani shida yako ni bundle huna au uvivu kitafuta

mnadanganywa na hizo nyumba mbili tatu hapo zilizopangwa mstari mnaona ndio mmemaliza!!!!

njoo tz uone kazi ya vijiji vya ujamaa ilileta matunda gani,ndio maana inakuwa rahisi hata kutandaza umeme maana watu wako pamoja sehemu nyingi.
Najua uwezo WA kujenga hizo nyumba hamna ndio maana ya povu. Endelea kuishi dream house yako
 
Kwa ninavyowajua watahesabu kutoka nguzo kwenda nguzo nyingine pale Tsavo na kudai ziko nyingi wakati ile inahesabika moja!
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Na hawakawii
 
Kuwa named local government is not an issue, mbona hata mna barabara mnaita hyper mega super highway lakini ni utopolo mtupu
Nyinyi hamna barabara yoyote ambayo imefikia hadhi ya Thika superhighway. Endelea kuongea matope.
 
Kuwa named local government is not an issue, mbona hata mna barabara mnaita hyper mega super highway lakini ni utopolo mtupu
Uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo. Nimesema Kenya tumekuwa na ministry of local government since independence. Ni nini hujaelewa hapo?
The first local government minister in 1963 was called Samuel Onyango Ayodo. Hiyo 1963 tulikuja kujifunza kuhusu local government Tanzania? Are you normal?
 
Hahahaha road reserve ya Tanzania nchi nzima ni pana kila upande lazima kuachwe reserves za kutosha kuweka miundombinu mingine kama ya maji, umeme, gas, telecommunications etc ninyi bado sana
Gas?? 😂 😂 😂
Kwa nchi ambayo 28 million ya wananchi wake wanaishi maisha ya uchochole?? 😂 😂
 
Uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo. Nimesema Kenya tumekuwa na ministry of local government since independence. Ni nini hujaelewa hapo?
The first local government minister in 1963 was called Samuel Onyango Ayodo. Hiyo 1963 tulikuja kujifunza kuhusu local government Tanzania? Are you normal?
Did you have the practical local governance back then or it was just a mere ceremonial title, why then opted to adopt what long ago achieved for God's sake? As the context of the local government is concerned!
 
Gas?? 😂 😂 😂
Kwa nchi ambayo 28 million ya wananchi wake wanaishi maisha ya uchochole?? 😂 😂
Hahahaha haya mambo mpaka yawafikie mtakua mmeshaturn fossils
download.jpeg
download (1).jpeg
 
Did you have the practical local governance back then or it was just a mere ceremonial title, why then opted to adopt what long ago achieved for God's sake? As the context of the local government is concerned!
I don't know how "practicality" is measured, perhaps you can tell us. What I know is that the local government ministry was responsible for running of all local authorities in Kenya, starting from town councils, municipal councils and city councils before they became defunct under the new constitution. One of the key functions of the then local government ministry was to ensure that local governments remain transparent and accountable to the people with regards to the use of public resources. The difference between then and now is that these authorities were not independent like they are right now but all their operations and management was run by the local government ministry, something that is now being done by the county governments. Any more questions??
 
Back
Top Bottom