Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, Kikuyu is a constituency and it's bigger than what you think. It's also a rich agricultural land. The pictures you posted, what shows that's Kikuyu save for the first picture?

Secondly, did you forget that it's not within Nairobi boundary?

And lastly, did you forget that one of you posted a picture of a village right within Dar just 35 kms away from the cbd?
kwa hiyo in kenya kutoka nairobi cbd mpaka kikuyu 30km ni mashambani...?

halafu uache porojo hapo ni 18km
20210118_153803.jpg
 
Just the same way they believe that Dar is more developed than Nairobi! They are living in utopia but they really need to wake up from that dream
miradi ya kimkakati,,,,hapo huwezi elewa tulia kama ulivyo,,,,,

wenye nchi ndiyo twaelewa hiko kipande tuna plan gani nacho
 
unalazimisha iwe kijiji wakati tunajua 18km away from nairobi kuna watu wanalima maharage
The good thing is that I already showed you Kikuyu town ukajionea and it is what's being used in calculating distance. Hizo picha za mashambani could be 40 or 50 kilometers away or even more but since it helps you lick your wounds, enjoy yourself 😂 😂
 
Nyinyi hamna barabara yoyote ambayo imefikia hadhi ya Thika superhighway. Endelea kuongea matope.
Thika Highway hiihii inayobomoka? Tell us why tutake kuwa na barabara yenye hadhi ya Thika Highway?
 
The good thing is that I already showed you Kikuyu town ukajionea and it is what's being used in calculating distance. Hizo picha za mashambani could be 40 or 50 kilometers away or even more but since it helps you lick your wounds, enjoy yourself
wound unayo wewe,unayelazimisha eti mbezi kuna kijiji.huu ni ugonjwa wa akili kabisaa.
 
Thika Highway hiihii inayobomoka? Tell us why tutake kuwa na barabara yenye hadhi ya Thika Highway?
bro hapo kwenye thika ndio silaha waliyokuwa wamebaki nayoit pain wanapoona inakwenda kuwa historia kama flyover nk.

waelewe mkuu.
 
Hahahhaa hii ndio kituko cha kwanza mm kushuhudia dunia hii🤣🤣👇👇 Tony254 jubilee ndio imewafkisha hapa

 
Back
Top Bottom