Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani jengo la Tanzania bureau of srandards inafanana vipi?
E64B66EE-ADAA-48ED-BCB3-E6F2CEB47FC7.jpeg
2C1B1EFC-7B6A-4817-96EC-3A9A1C8AD172.jpeg
C82D5640-5E6D-4D64-B940-8B356F9059D5.jpeg
1AADC186-86F3-4DA9-AE98-21610FD0BCF3.jpeg
685355C7-D70D-4188-A5E7-22C3D678D932.jpeg
 
ningekuwa mkenya kipindi cha ningemchagua huyo DP ruto 🤷🏾‍♂️.. odinga ni design ya yule wa zanzibar ACT.. ana njaa ya hela tu/ufisadi na wala si kuongoza kenya
Hata ruto ni fisadi mkubwa sana kenya

amekua tajiri mkubwa baada ya madaraka na anamiliki mahoteli na ardhi kila kona ya kenya
 
Sinza kuna ushua gani. .?Sinza sifa kuu wanaishi wajanja wa mjini na kuna pub nyingi na maduka mengi ya nguo ,saloon aina zote sinza wanaishi watu wa kipato cha kati tu matajiri haswaa wachache uzuri wa sinza mitaa yake imepangika yani kunaeleweka
Kwhyo unakataa watu wanaoishi sinza huvimba kw wenzao wale wa mitaa ya uswazi..
Alafu tatizo ukija ukiiona hyo sinza unqshangaa
 
Lakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
Wewe ni mpuuzi hivi unajua migodi ya dhahabu inaingiza kiasi gani kiuchumi? Kama Mombasa port inapanuliwa, hata Mwanza ina mradi wa $300 mln bridge! Ukiacha miradi ya ujenzi wa meli na gold refineries! Mwanza unakimbizana kabisa na Mombasa tena hata na kwa idadi ya wakazi!
 
Dah hii barabara haina hata miaka miwili tayari inakaa kuukuu namna hii!?

DcsEFsXW0AAKQ-H

Roads agency closes key Mombasa bypass over cracks​

Monday, July 13, 2020
bypass.jpg

The Dongo Kundu bypass. PHOTO | WACHIRA MWANGI | NATION MEDIA GROUP
logo (9)
By Wachira Mwangi

What you need to know:​

  • The temporal closure of the road started at 7pm on Sunday evening and motorists have been advised to use the Miritini-Kwa Jomvu-Mombasa road as an alternative route.
  • Most affected will be the access of the Mombasa Standard Gauge Railway (SGR) Miritini station given that the train services resume today morning.
The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has closed a section of the Mombasa Southern bypass for two days, as part of the new road infrastructure touching on Moi International Airport developed cracks.

In a statement, the Authority warned motorists of temporary closure of the Miritini- Mwache-Kipevu road for period of 48 hours to allow for necessary monitoring and further engineering interventions.

“A limited section of the cut slope along the said road and adjacent to the Moi International Airport fenceline has been observed to exhibit movement as a result of previous moisture ingress and unfavourable subsurface conditions,” read the statement from KeNHA Director General Peter Mundinia.

The temporal closure of the road started at 7pm on Sunday evening and motorists have been advised to use the Miritini-Kwa Jomvu-Mombasa road as an alternative route.

Most affected will be the access of the Mombasa Standard Gauge Railway (SGR) Miritini station given that the train services resume this morning.

KeNHA, through its Assistant Director of Corporate Communications Charles Njogu, noted that the Moi Airport is also experiencing a similar phenomenon on slopes away from the road construction.

“Seems like a geological phenomenon over a wide cross section. Our engineers have moved to site this evening. Traffic at the section port bound has been diverted to one lane over a section of 800 metres,” Mr Njogu said.

The cracks have been at the road section for over three weeks.

Nation. Empower Africa.​

Roads agency closes key Mombasa bypass over cracks
 
Mwanza soon tutaiachia Nairobi, alafu Dar itakuwa inapambana na Dodoma mtake msitake
 
Jamaa ni wachafu sana alafu sio civilised kabisa.
 
Back
Top Bottom