na bado mtu analipia kukaaa kwenye hayo magorofa 😂 😂Niliwahi sema majizi hapo kwamba hili Linchi ni limejaa matapeli ndio maana Kila siku maskini wanakufa kwenye vifusi Kwa sababu ya wasiokuwa na sheria
View attachment 3709545
mnatia huruma saaahv 😂 😂Waliacha kupist pitch wakisema ni substandard.😂😂
ingine hioHii sasa ndiyo daily dose
Vichwa vya double decker huwa vinalingana urefu na coaches zake. Otherwise it's gonna look funny.Ni za TRC hivi ni vile vichwa 2 walivyonunua pamoja na double decker coaches. Vitakuwa vinavuta double decker kwa passengers services
Kenya wameshinda ngap uko 😂 😂 😂Footballing nation wameona siku mrefu Nigeria 🤣🤣🤣🤣
Minyamwezi yamepigwa kichapo cha mbwa msikitini!
alaf wachezaji wa nigeria sijui ni academy ile hata siwajui sijawah wasikia 😂😂😂😂😂Footballing nation wameona siku mrefu Nigeria 🤣🤣🤣🤣
Minyamwezi yamepigwa kichapo cha mbwa msikitini!