Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
Wacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa! Tena superior infrstructure na hata SGR inajengwa tena ya umeme!Lakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.

