Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? 😂😂😂 Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popoteWest gate mall ni ya kiwango cha juu zaidi kyuliko hii mfano wa steji tu..

yani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo
 
yani nyie wa tz bado mko nyuma zaidi ...mambo haya kenya tulipitia kitamboooooo
Lobby ya Nairobi Terminus haifikii hii hata robo! Nairobi terminus Imekaa kama warehouse! Dude lina Milango manual ya kusukuma! Njoo Dar SGR station uone milango yenye sensors ya kufunguka automatically na kuruhusu mwenye luggage wagons kupita unassisted!
 
Top 10 Universities in East Africa


  1. University of Nairobi
  2. Makerere University
  3. Kenyatta University
  4. University of Dar es Salaam
  5. Egerton University
  6. Moi University
  7. The University of Dodoma
  8. University of Rwanda
  9. Sokoine University of Agriculture
  10. Strathmore University
Source by who???🤣🤣🤣
 
88A49558-41CF-474A-9EC4-6FEC5CDCC8EC.jpeg
 
Tumetumia sayansi kuwaumbua watu wenye hila mbaya za kusambaza corona.

Tz, tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kutambua kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
Kanye corona mlitumia nini? kakakuona? 😂
 
Mji wwte duniani ambao hauna infrastructure za treni ya umeme basi huo mji ni stone age, huwezi ku compare Mwanza na Mombasa ni kukosa heshima.
Mwanza kuna electric train? You are a Tanzanian. What good can come out of your mouth? But that won't change any fact that Mombasa is a million times better than Mwanza
 
Back
Top Bottom