Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuru noma😁😁
images (92).jpeg
images (94).jpeg
images - 2020-04-11T180150.157.jpg
 
Kwa hiyo hizo cheap roads ndo ziliwafanya muamini kwmb mnaiweza Tz kwenye road network? Wakenya bhn, hiyo ni designing tu but road is road
Ona huyu🤣🤣🤣🤣 this kind of roads are found in developed countries
 
Ona huyu this kind of roads are found in developed countries
Nioneshe developed gn imejenga old style kwa recently, hakuna developed yyte ikajenga ma interchange ya hivyo, hata Tz haitakaa ijenge maushuzi jua kali km hayo, labda tujenge km ile ya Uganda cz ile ni ya kisasa.
 
kikihboy umeona hapo pa road is road au ni mmtu..

Mwenzako kw kisukuma kamaanisha barabara ni barabara tu
Cloverleaf ndio old style
Mzee baba acha kujiabisha jomba, we kubali hamna tu..
Si jana hapa mlikuja na vipicha eti mnajenga yenu mwanza mbona wenzako walinengua japokua picha ilikua ya uganada
 
this kind of road ni zile simple,hasara yake haiko kwenye pesa ila iko kwenye eneo inalochukua.

ili nikusaidie labda,gharama ya kujenga flyover moja tu kama hiyo ya hapo ubungo,ni sawa na hizi zako hapo 50.ila kwavile hatuna nafasi ndani ya jiji kujenga hayo makopa kopa,ndio sababu unaona tunakomaa na madaraja ya bei mbaya.

ni kweli huwezi shuhudia hii dsm,na hutakaa ushuhudie.
 
Pale mtu anapotafuta njia ya kuhalalisha ujinga ili na yeye aonekane ana point kutokua nayo kumbe ni elimu tu ndio hana..
 
Cloverleaf ndio old style
Mzee baba acha kujiabisha jomba, we kubali hamna tu..
Si jana hapa mlikuja na vipicha eti mnajenga yenu mwanza mbona wenzako walinengua japokua picha ilikua ya uganada

this kind of road ni zile simple,hasara yake haiko kwenye pesa ila iko kwenye eneo inalochukua.

ili nikusaidie labda,gharama ya kujenga flyover moja tu kama hiyo ya hapo ubungo,ni sawa na hizi zako hapo 50.ila kwavile hatuna nafasi ndani ya jiji kujenga hayo makopa kopa,ndio sababu unaona tunakomaa na madaraja ya bei mbaya.

ni kweli huwezi shuhudia hii dsm,na hutakaa ushuhudie.
Hizo zina ajali hizo sio kitoto, yn ma interchange ya style hyo ni most dangerous, kule ulaya wameachana nayo hayo, nashauri GoT isijenge ya design hyo.
 
GOT kiongozi anapokwenda ulaya,huwa ana point kitu kisha anasema "nataka kama ile"

bila kuuliza kikoje
 
Back
Top Bottom