curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Tz leo kama mbele
Tangu lini mchina akawa siyo swahiba wetu!?Hivi wachina wameshakua maswahiba ghafla na wakati phase one mliwakataa
Kenya hakuna stesheni mbovu
Nani aliyesema ni super bridge, mbona unawatia wakandarasi maneno mdomoni mwao..
Jamaa anajifanya hajui maana ya super highway eti kisa kaiishi marekaniacha kuhalalisha upumbavu wewe..
Kwn wewe ndio wakwanza kwenda na kuishi hkoView attachment 1677179View attachment 1677180
Hii hapa “super bridge”Nani aliyesema ni super bridge, mbona unawatia wakandarasi maneno mdomoni mwao..
Jamaa anajifanya hajui maana ya super highway eti kisa kaiishi marekaniacha kuhalalisha upumbavu wewe..
Kwn wewe ndio wakwanza kwenda na kuishi hkoView attachment 1677179View attachment 1677180
Alafu ukumbuke pia freeway ni sawa na super highway, we unapagawa na majina mzee babaNimeishi Marekani miaka mingi sana na nikwambie tu kuwa nimeona highways nyingi bora kuliko hiyo Thika lakini hakuna hata moja iliyopewa jina linaloanza na “super” Hata miji yenye extensive highways and freeways kama Los Angeles Hamna jina la super highway. Ni ninyi wapumbavu mnaojifanya mko juu kwa vitu vya kawaida sana. Hata ile thread ya Likoni bridge aliyeifungua Alisema “super bridge” sasa mimi nashangaa wenye suspension/ cable-stayed bridges zenye urefu na gharama kubwa zaidi wanayaitaje madaraja yao?
Unatesekea wapi mkuuWe hapo unaona kuna daraja?...Tanzania tunayaita ni mifano ya madaraja yaliyotumiwa kipindi cha ukoloni.


Marekani wanaita freeways ambayo ni sawa na super highway au expressway..Hii hapa “super bridge”
View attachment 1677192
Mimi nimekupa mfano wa nchi ambayo highways kama Thika ni kitu cha kawaida lakini hawaiti zao “superhighway”
Please do your research kabla ya kujiabisha. All freeways are highways but not every highway is a freeway!Alafu ukumbuke pia freeway ni sawa na super highway, we unapagawa na majina mzee baba
What? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo unadhani “highway” haitumiki marekani? Wewe ni mjinga! Mimi sijakuonyesha picha! Nimekuonyesha neno “super bridge”Marekani wanaita freeways ambayo ni sawa na super highway au expressway..
Najua hapo lugha ndio inakukanganya ndio manake wamarekani wakifika uingereza wanakorogeka..
Alafu hyo picha sio ya bridge ya kenya
🤣🤣🤣🤣🤣 yani hao jamaa wana ujinga kichwani wanaimba likoni bridge miaka 40 sasa alaf wameenda kupata huu ushuziHii hapa “super bridge”
View attachment 1677192
Mimi nimekupa mfano wa nchi ambayo highways kama Thika ni kitu cha kawaida lakini hawaiti zao “superhighway”
wapo wapi wale wakenya washamba waone jinsi stations zapaswa kuwa........ Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.?Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
mkuu hiyo ni zaidi ya terminal......Tusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal
Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long![]()
umehama,,,Sasa unaweza kulinganisha hilo kopo la uji hapo Dar na hizo hoteli ulizotaja?



. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.?Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
🤣🤣🤣🤣Nkileta interior za SGR Kenya najua itakaa kimyauhunye mda huu anatamani stations zao na reli yao yote zibomolewe na zijengwe upya ili kuzifunika za Tanzania.
this is what we call the VALUE FOR MONEY!