Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another 3 Level interchange is being developed at this Junction.
Also this tower under construction has been rising silently. It is a 20floor tower
EraVRHFXcAQLfR2.jpg
 
Hongera sana. Miradi kama hii inayounganisha maeneo ambayo yalikuwa hayana lami zamani ni muhimu sana. Miradi kama hii ndio itafanya real potential ya Tanzania kupatikana. Maana Trade kati ya TZ na malawi itaongezeka. Samaki kutoka lake Nyasa watafika haraka katika masoko ya TZ bila kuharibika. Town hio itawacha kuwa ndogo maana watu watakuja kuinvest katika hio town. Tanzania bado mna potential kubwa sana na muzidi kuunganisha maeneo muhimu kama haya na lami. Impact itakuwa kubwa kwenye uchumi.

Cc Geza Ulole
Wakenya wenzako hawapendi ss tony
 
Kwa kupima papai na mbuzi? 😂 😂
Tumetumia sayansi kuwaumbua watu wenye hila mbaya za kusambaza corona.

Tz, tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kutambua kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
 
Tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kuangalia kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
Pia tumegundua kwamba ukiweka maji ya moto na ya baridi ndani ya friji basi maji ya moto ndio yatakayoanza kuganda (mpemba effect), wakenya mmegundua nn hebu mtuambie
 
hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,

unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?
Hua wanajenga ovyo ovyo ndio maana leo madeni yanawatesa sasa ww niambie ile overpass ya kisumu inauhitaji gani??? 🤣🤣
 
hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,

unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?
Traffic zinazoelekea western province, Eldoret town, Turkana na maeneo ya Northern Kenya, na traffic zinazoelekea Uganda zote zinapitia katika hio interchange.
 
Study nzuri sana hii, ntaendelea kuifuatilia kiundani zaidi hasa ukizingatia wamasai huwa ni warefu kulinganisha na makabila mengine.
Hata South Sudanese ni one of the tallest people in the world na wao wanakunywa maziwa sana na kula nyama. Hata Scandinavian countries akina Sweden, Norway ni warefu kwa sababu ya kula animal protein. Ni sawa mkuu ifuatilie na kama una watoto anza kuwapatia animal protein wakiwa wadogo.
 
Tumekuwa na daraja la waenda kwa miguu Dar toka 1993 (Manzese) na sasa kuna mengi sana kama Buguruni, Tangibovu na yale ya BRT.
Leteni picha za footbridge za Dar. Kusema ukweli mimi sijawahi kuziona.
The best 007 leta picha za footbridge. Weka atleast mbili ndio tujue kwamba ni ukweli.
 
Hongera sana. Miradi kama hii inayounganisha maeneo ambayo yalikuwa hayana lami zamani ni muhimu sana. Miradi kama hii ndio itafanya real potential ya Tanzania kupatikana. Maana Trade kati ya TZ na malawi itaongezeka. Samaki kutoka lake Nyasa watafika haraka katika masoko ya TZ bila kuharibika. Town hio itawacha kuwa ndogo maana watu watakuja kuinvest katika hio town. Tanzania bado mna potential kubwa sana na muzidi kuunganisha maeneo muhimu kama haya na lami. Impact itakuwa kubwa kwenye uchumi.

Cc Geza Ulole
Facts
 
Back
Top Bottom