Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kazi mtachapa nayo nani sasa na mmeanza kiburi!!!

kila nchi mnagombana nayo,mpaka sisi kaka zenu tunaowaweka mjini mnatufanyia ujiaji
Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ambayo haijapigana vita vya kiserekali na nchi yyte
Kwhyo bado sisi ndio baba wa demokrasia ukanda huu, tuna mbinu zote za kuwa tune na kuwarudisha katika hali ya kawaida..

Nyie ni wale zetu bana
 
Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ambayo haijapigana vita vya kiserekali na nchi yyte
Kwhyo bado sisi ndio baba wa demokrasia ukanda huu, tuna mbinu zote za kuwa tune na kuwarudisha katika hali ya kawaida..

Nyie ni wale zetu bana
kumbe democrasia ni kutopigana vita ya mipaka,basi sawa.

ama ulimaanisha diplomasia,sasa diplomasia ni pamoja na kuishi bila kelele na majirani.sio kutopigana pekee.
 
Zimebaki ngapi?
IMG_20210112_165700.jpg
 
Wakenya wako desperate sn, ila na sisi tunaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka wao cz tangu tuwazd wamekuwa km wehu
Muda mrefu sana walikuwa wanatumika km tissue msalani,kupitishia propaganda za kibepari,walisifiwa sana kumbe ni Umavi mtupu.Kunyaland a.k.a shit hole
 
Only ignorant clowns don’t know SINGAPORE stop issuing 10000 denomination notes in 2014 and 1000 note in Nov 2020,Iraq is a failed state!How much in loans has tz given to another country coz you think larger denominations is a sign of wealth?you are a mini Zimbabwe!
Hahahaha mbona Japan Yen umemute?

Na aliekuambia Singapore wameacha a na matumizi ya 10k notes ni nani?

Screenshot_20210112-170154.png
 
Posta mpya karibu ymca nimeona picha kuna kitu cha nguvu kinashushwa
Hii issue tulishaimaliza unataka tuanze tena!?


Above 25F

TPA |40F
PSPF Tower A|35F |
PSPF Tower B|35F |
Mzizima Tower Office |35F
Mzizima Tower Residential|33F|
PPF HQ |40F|
MNF Tower 1 |32F |
MNF Tower 2 |32F |
Uhuru Media Tower |32F|
Rita Tower |30F |
Millenium Tower II|30F |
NHC Morocco Square Tower 1|30F|
NHC Morocco Square Tower 2|30F|
NHC Golden Anniversary Building |26F|
Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
Uhuru Heights | 25F |
NHC Morocco Square Tower 3|25F|
 
Back
Top Bottom