Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya wabishi kweli

Screenshot_20210111-210104.jpg
 
Umewahifika Suswa ukajua ni pori? Or is it just because inashinda zile zenu kwa ubora?
nifike suswa kufanya nin vichakani uko.....?.. ni bora niende village nikalime na kukandamiza natural food....

tunarudi kwenye swali je hilo banda la kuchunia ngozi za ng'ombe imejengwa kulingana na mahitaji..?
 
Hiyo ndiyo best CBD yenu!? hahahahaha!! Nimecheka mpaka nikashika mbavu zangu. Sasa majengo hayo ya kizamani.
Yaani you build blocks from the ground to the top. The buildings are so heavy.
Colonial era designs
Ukiona jengo kama hill Nairobi nisitue.
Very beautiful, elegant

Mwenge CBD
View attachment 1675003View attachment 1675004
halafu wakenya parking zao za magari kwenye maghorofa huwa zinakaa mfumo gani...
 
Hiyo ndiyo best CBD yenu!? hahahahaha!! Nimecheka mpaka nikashika mbavu zangu. Sasa majengo hayo ya kizamani.
Yaani you build blocks from the ground to the top. The buildings are so heavy.
Colonial era designs
Ukiona jengo kama hill Nairobi nisitue.
Very beautiful, elegant

Mwenge CBD
View attachment 1675003View attachment 1675004
Hii nayo cbd, jamani jamani jamani
 
Zikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.
Zikiwa bullet ndo hamtazungumza ila ikiwa mitungi mtapiga kelele sn.
 
Back
Top Bottom