Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Is this the “grand reveal” you’ve been longing for? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Is this the “grand reveal” you’ve been longing for? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hujielewi wewe...sisi tuna business centre zaidi ya kumi..CBD ya Nairobi bado sijaweka. Nitakuja kuweka baadaye. Mtakimbia humu. Nyie mna business diatrict moja sisi tuna business districts tatu yaani Westlands, Upperhill na Nairobi CBD.
Hata mkiwa na ishirini hakuna shida. business districts zenu hazina skyscrappers isipokuwa city centre na kijitonyama kwa kiasi fulaniHujielewi wewe...sisi tuna business centre zaidi ya kumi..
Hiyo ndiyo best CBD yenu!? hahahahaha!! Nimecheka mpaka nikashika mbavu zangu. Sasa majengo hayo ya kizamani.
Nyinyi kwa hio CBD yenu mna nini ya maana isipokuwa hizo glass tatu za bluuIs this the “grand reveal” you’ve been longing for? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna umbali gn kutoka hapo mpk NairobiWalker255 The best 007 westlands yetu inafanana na CBD yenu. Bado sijaweka CBD ya Nairobi. Kwikwikwi
View attachment 1674901View attachment 1674902View attachment 1674903


Video link please 😂😂
Nilikuwa namsubiri tu ajae na najua lazima atamalizwaHii issue tulishaimaliza unataka tuanze tena!?
Above 25F
TPA |40F
PSPF Tower A|35F |
PSPF Tower B|35F |
Mzizima Tower Office |35F
Mzizima Tower Residential|33F|
PPF HQ |40F|
MNF Tower 1 |32F |
MNF Tower 2 |32F |
Uhuru Media Tower |32F|
Rita Tower |30F |
Millenium Tower II|30F |
NHC Morocco Square Tower 1|30F|
NHC Morocco Square Tower 2|30F|
NHC Golden Anniversary Building |26F|
Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
Uhuru Heights | 25F |
NHC Morocco Square Tower 3|25F|








Our CBD looks so much better than yours. I’m not even being biased.Nyinyi kwa hio CBD yenu mna nini ya maana isipokuwa hizo glass tatu za bluu
Pwahahaha modern skyscrapers are grassy. Hiyo ya kupiga lipu with cement is the stone age technology.Mimi naongea kuhusu skyscrappers lakini huyu pimbi Trubarg anaongea kuhusu business centre.
Glass tatu za bluu ndio so much better? Be serious sometimes.Our CBD looks so much better than yours. I’m not even being biased.
Hii kutoka UHURU HEIGHTS miaka mitatu iliyopitaHii density hapa hata uunganishe ghorofa zote za Kenya na Uganda hazifiki na hizo blue towers sizioni
View attachment 1674817
😂😂😂😂😂😂😂
This one incorporates Dar’CBD alone. @NDNDA please leta zile picha za Upanga, Silicon Dar from the ocean
View attachment 1674984
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
Dar Es salaam Panorama by indaressalaam, on FlickrZa upperhill na Westlands hakuna za cement, ni za glass. CBD nimekuonyesha kuna modern za glass. Wacha kujifanya hujaziona. Rudi nyuma ukazitazame.Pwahahaha modern skyscrapers are grassy. Hiyo ya kupiga lipu with cement is the stone age technology.
Hahahahaha. Wakenya ni washamba mno.
Do you think I’m as dumb as you? Yes, I’m being serious!Glass tatu za bluu ndio so much better? Be serious sometimes.