President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,768
- 89,793
Je huko Kenya kuna elegant buildings kama hizi!?Mbona hata Joburg ipo hivyo? Kuna old cbd ambayo ina carlton centre na pia kuna sandton ambayo ina The leonardo? Nyinyi ndio mpo nyuma.
Je huko Kenya kuna elegant buildings kama hizi!?Mbona hata Joburg ipo hivyo? Kuna old cbd ambayo ina carlton centre na pia kuna sandton ambayo ina The leonardo? Nyinyi ndio mpo nyuma.
Jamaa anakifanya kipofu.Imagine most of them done by a local company , Nchi nyingine haya wanajengewa na mengi yanamilikiwa na nchi nyingine. Remember AVIC is a Chinese state corporation 🤣 . Halafu wako busy kukashifu serikali nyingine kufanya Biashara. wakati ndio zinawatoa kimasomaso. LOL
Sasa unajifariji na ownership? Hahaha. Ina tofauti gani hata kama aliens ndio wanamiliki hizi za Kenya?Imagine most of them done by a local company , Nchi nyingine haya wanajengewa na mengi yanamilikiwa na nchi nyingine. Remember AVIC is a Chinese state corporation 🤣 . Halafu wako busy kukashifu serikali nyingine kufanya Biashara. wakati ndio zinawatoa kimasomaso. LOL
Huyu sio wewe huyuMimi naongea kuhusu skyscrappers lakini huyu pimbi Trubarg anaongea kuhusu business centre.







Nimeshasema kwamba Kenya tuna Westlands, Upperhill na CBD. Hizi ni business districts tatu za Nairobi. Nyinyi mna business district moja.
Nimezipost tayari. Tatizo wewe umeejoin discussion wakati nimeshazipost zote na siwezi kurudia. Anyway zote mbili ni beautiful ila hio ya juu ni fupi sana. Ya pili tu ndio skyscrapper.
Sijakuelewa unamaanisha nini? Mimi leo nafocuss na skyscrappers maana hapo tumewapiga bila huruma lakini kwenye density pengine mnaweza kushinda.Huyu sio wewe huyu![]()
Dar Skyline From Masaki by indaressalaam, on FlickrSs kwahiyo ni CBD moja au unasemajeWestlands ipo Nairobi. Mimi nasema kuwa Nairobi imegawanywa mara tatu in terms of skyscrapper development. Mbona unajifanya mjinga? Hata London ipo hivyo hivyo kuna Canary wharf
na pia kuna old CBD ya London. Lakini pengine mambo haya hamuwezi kuyaelewa.


Hutaiweza believe meDiscussion ya density nimekuambia ungojee hadi kesho. Mbona una pupa sana?


CBD ina boundaries. Ama unadhani mimi ni mjinga? boundary ya CBD ya Kenya ni Haille Selassie avenue kwa upande mmoja, Moi avenue kwa upande mwingine na Uhuru highway kwa upande mwingine. Westlands ipo mbali kidogo na CBD. Yaani lazima upande matatu ndio ufike westlands. Westlands ni kilomita kadhaa, kutoka CBD. Hata ndio maana haikuwa inaonekana kwenye ile picha ya CBD.Ss kwahiyo ni CBD moja au unasemaje![]()
Hapa ulimuelewa Venus Star au ukajifanya kipofuSijakuelewa unamaanisha nini? Mimi leo nafocuss na skyscrappers maana hapo tumewapiga bila huruma lakini kwenye density pengine mnaweza kushinda.





Sasa unajifariji na ownership? Hahaha. Ina tofauti gani hata kama aliens ndio wanamiliki hizi za Kenya?
kwa sifa mnazojipa mlitakiwa muwe at least league moja na Singapore au South Korea. 

. CapitalistsZikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.The kind of headings on newspapers in Kenya when our electric trains arrive,
"South Korea grants Dar locomotives for SGR phase I"
Nchi yenu mara dufu kushinda yetu kwa ukubwa. Gdp yetu karibu mara dufu kushinda yenu so yes we are capitalists.Hamjui hata mpo upande upi, Juzi juzi Mkuu Geza kawaumbua, Eti serikali hazifanyi biashara wakati kwenu hadi serikali inamiliki Hotel, BTW, hamjui vitu mpo mpo tu. eti capitalists, My friend ni aibu kujisifia vile eti Business oriented, capitalists, Aggressive yet mnatembelea Kichwa pamoja na waafrica wengine, tena wengine Bora 10 times yenu.kwa sifa mnazojipa mlitakiwa muwe at least league moja na Singapore au South Korea.
Non of my business by the way. Capitalists
Wacheni ufala....dar kuna tower tatu pekeeDar Skyline From Masaki by indaressalaam, on Flickr
Hawa jamaa ni uduvi ni ving'ang'anizi kinoma wanadhani in the US city au states au federal governments hawamiliki hotels ama business centers/towers ama malls ama residential buildings!Hamjui hata mpo upande upi, Juzi juzi Mkuu Geza kawaumbua, Eti serikali hazifanyi biashara wakati kwenu hadi serikali inamiliki Hotel, BTW, hamjui vitu mpo mpo tu. eti capitalists, My friend ni aibu kujisifia vile eti Business oriented, capitalists, Aggressive yet mnatembelea Kichwa pamoja na waafrica wengine, tena wengine Bora 10 times yenu.kwa sifa mnazojipa mlitakiwa muwe at least league moja na Singapore au South Korea.
Non of my business by the way. Capitalists
Hizo glass tatu ndio wanapost hapa kila siku na bado wanataka kujilinganisha na Nairobi yenye ina skycrappers westlands, upperhill na CBDWacheni ufala....dar kuna tower tatu pekee
Nausitegemee mtungi wa mbege bro,vitakuja vitu ambavyo hamjawahi kuotaZikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.