The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hehehehee brt walishakosea labda wajenge BRT ushagoo but co metropolis areas, labda wafumue fumue miundombinu yote ya kwanza wajenge upya, sisi kwetu mlikuwa mnaona serikali mbn haieleweki unakuta road kulia road kushoto katikati bonge la eneo tulikuwa hatujui kumbe zilikuwa plan za miaka 200 ijayoHq
Hapo juu nafasi ya brt ipo kabisaa mki plan mapema mtaweza majirani wetuhatuna kinyongo tunawapenda bado
![]()



Ss wao baada ya kuona brt system haiwezekani ndo GoK ikaona izuge na mitumba ili waonekane wanaenda sambamba na Tz cz kelele za raia zilizidi, yn imefikia kipindi GoK inafanya miradi isiyokuwepo kwenye manifesto ya jubilee but waonekane wanaenda sambamba na Tz



Eti nao wameanza kujenga madaraja wkt sio kipaumbele chao, heheheee Magu huyu anaharibu kweli deals za viongozi wa kiafrika mana wanaonekana hawafanyi kazi






hatuna kinyongo tunawapenda bado





