Nairobi hakuna tower hata moja unajiskiaje?Wacheni ufala....dar kuna tower tatu pekee
Unajua hako kacbd kao kanaingia mara tatu ndani ya kilimaniHizo glass tatu ndio wanapost hapa kila siku na bado wanataka kujilinganisha na Nairobi yenye ina skycrappers westlanda, upperhill na CBD
😍😍😍😍😍😍😍Hatari,, NAIROBI si mchezo walai🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Wadau nina picha moja ambayo imechanganya CBD na upperhill kwa picha moja. Ila kwa bahati mbaya westlands haionekani kwenye hio picha maana westlands iko mbali. Pia kuna majengo ya upperhill ambayo hayaonekani.
Tazama
Upperhill + CBD (without westlands)
View attachment 1674975
Hatari sana apana cheza.
This building has been under construction for ages. Did it stall?Siku Mzizima towers ambazo ni mbili (35 + 33) zikiwa completed utaona hizi pimbi zenu zitakavyokuwa mediocre.
View attachment 1674944
Over 20fl mkona 22 buildings wakati ss tuko na over 50Nairobi hakuna tower hata moja unajiskiaje?
Hehe 2017,,na sikumbaliani na hii data,am waiting ya 2020 mtajua hamjui😁Feel free to include articles like this too
View attachment 1674979
I have no idea what’s happening. Construction workers have been spotted at the site on a regular basis though.This building has been under construction for ages. Did it stall?
Naona tu building's fupi fupi huko kando 😁Bahari ileeeView attachment 1675002
aliyelinganisha ni nani mamaa....?Suswa huwezi palinganisha na nothern kenya, watu hko sio pastoralists na normads km kule
They might have run out of money or somethingI have no idea what’s happening. Construction workers have been spotted at the site on a regular basis though.
Tunatower 3 Au 22?huelewekiOver 20fl mkona 22 buildings wakati ss tuko na over 50
Izo zilikuepo tangu kitamboNa
Naona tu building's fupi fupi huko kando![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Hii kariakoo apana,,Stone age tiny squeezed buildings,,si league ya akina Westlands, kilimani, upperhill na CBD plzzzzzzzz,,bring real competition here of modern and tall towers,,or modern standard ones
Ila huyu mwamba kanikosha sana..
Hayu nashuku sana ni wale ferry ikichelewa wanijitosa majini na kuvukaView attachment 1674869



huyo mwamba ni kasuku mzee wa mbizi achana naye kabisa anatembea na roho mkononi...Latest pic,usilie SanaIs this the “grand reveal” you’ve been longing for? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani nakwambia majengo ya kupimiana hewa walaiHii kariakoo apana,,Stone age tiny squeezed buildings,,si league ya akina Westlands, kilimani, upperhill na CBD plzzzzzzzz,,bring real competition here of modern and tall towers,,or modern standard ones
20 cm😁😁Kuna umbali gn kutoka hapo mpk Nairobi![]()