The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ndo nmemuuliza kutoka hapo westland mpk Nairobi kuna umbali gn.Hiyo yote Ni Nairobi au unamaanisha nn unaposema hujaweka CBD ya Nairobi
Ndo nmemuuliza kutoka hapo westland mpk Nairobi kuna umbali gn.Hiyo yote Ni Nairobi au unamaanisha nn unaposema hujaweka CBD ya Nairobi
Hapo upanga hakuna skyscrapper ni upuzi mtupu. Jengo kama halijafikisha mita mia moja au kama halina ghorofa zaidi ya 20 basi sio skyscrapper.Hii kutoka UHURU HEIGHTS miaka mitatu iliyopita
1.POSTA
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
2. SILCON DAR
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
3. UPANGA
Dar Es salaam Panorama by indaressalaam, on Flickr
Modern skyscrapers. Hebu jaribu kuweka buildings kama hizi very beautiful.Glass tatu za bluu ndio so much better? Be serious sometimes.
According to your own dictionary..Hapo upanga hakuna skyscrapper ni upuzi mtupu. Jengo kama halijafikisha mita mia moja au kama halina ghorofa zaidi ya 20 basi sio skyscrapper.
Westlands ipo Nairobi. Mimi nasema kuwa Nairobi imegawanywa mara tatu in terms of skyscrapper development. Mbona unajifanya mjinga? Hata London ipo hivyo hivyo kuna Canary wharfNdo nmemuuliza kutoka hapo westland mpk Nairobi kuna umbali gn.
Hakuna grassy hapo. Ni udongo kuanzia chini mpaka juu. Farao era design. Kama Egyptian pyramids pwahahaha.Za upperhill na Westlands hakuna za cement, ni za glass. CBD nimekuonyesha kuna modern za glass. Wacha kujifanya hujaziona. Rudi nyuma ukazitazame.
Nimeshaweka. Wacha kunipotezea muda wangu. Kama huwezi kurudi nyuma ni shida yako lakini usijifanye kwamba sijaweka majengo ya glass. Wewe kama hujaona hio ni shauri yako.Modern skyscrapers. Hebu jaribu kuweka buildings kama hizi very beautiful.
Kenya bado sana
View attachment 1675006View attachment 1675007View attachment 1675008
Acheni kuiga tembo kunya..mtapasuka mapumbuWestlands ipo Nairobi. Mimi nasema kuwa Nairobi imegawanywa mara tatu in terms of skyscrapper development. Mbona unajifanya mjinga? Hata London ipo hivyo hivyo kuna Canary wharf
na pia kuna old CBD ya London. Lakini pengine mambo haya hamuwezi kuyaelewa.
Nimekuja kugundua kumbe Kenya tunaichapa kwa mambo mengi mnoo





Hongera sana kaka, ww ni noma aisee km EnglandHii nilipiga kutokea dirisha la Bar pale KEBBY HOTEL.🙂






Yaani hapo huoni kuwa picha zenu zimeongezewa mwanga?Mbona kuna giza sana Dar usiku. Kwani hamna street lights za kutosha? Kwanza hio picha ya pili ni giza tupu.
Tazameni Nairobi usiku inavyong'aa kama nyota
View attachment 1674349View attachment 1674357
Nyie mna CBD moja pekee sisi tunazo 4Wadau nina picha moja ambayo imechanganya CBD na upperhill kwa picha moja. Ila kwa bahati mbaya westlands haionekani kwenye hio picha maana westlands iko mbali. Pia kuna majengo ya upperhill ambayo hayaonekani.
Tazama
Upperhill + CBD (without westlands)
View attachment 1674975
Hatari sana apana cheza.




Hiyo ni Angle tuu ya picha, hapo Upanga kuna nyumba nzuri sana.😂😂😂 Heeehh uswazi reloaded
View attachment 1674397
Imagine most of them done by a local company , Nchi nyingine haya wanajengewa na mengi yanamilikiwa na nchi nyingine. Remember AVIC is a Chinese state corporation 🤣 . Halafu wako busy kukashifu serikali nyingine kufanya Biashara. wakati ndio zinawatoa kimasomaso. LOLModern skyscrapers. Hebu jaribu kuweka buildings kama hizi very beautiful.
Kenya bado sana
View attachment 1675006View attachment 1675007View attachment 1675008
Mbona hata Joburg ipo hivyo? Kuna old cbd ambayo ina carlton centre na pia kuna sandton ambayo ina The leonardo? Nyinyi ndio mpo nyuma.Acheni kuiga tembo kunya..mtapasuka mapumbu
Wacha urongo hakuna density umeonesha hapa wewe, density iko moja East and Central Africa ambayo ni hiiMbona nahesabu majumba tisa tu hapo??? Umeona ile density nimekuonyesha kwa ile picha yangu?





Hakuna dictionary inayoruhusu jengo la ghorofa kumi kuwa skyscrapper. Endelea kujidanganyaAccording to your own dictionary..
Discussion ya density nimekuambia ungojee hadi kesho. Mbona una pupa sana?Wacha urongo hakuna density umeonesha hapa wewe, density iko moja East and Central Africa ambayo ni hiiView attachment 1675014View attachment 1675016
Hamna kitu Boss, 😂 , Mimi sijui kitu, almost Zero.Hongera sana kaka, ww ni noma aisee km England![]()