Hii nilipiga kutokea dirisha la Bar pale KEBBY HOTEL.🙂
Umetajiwa zipo nne. Sasa subiri tukuwekee hapa. Mbona unakuwa mbishi.Nimeshasema kwamba Kenya tuna Westlands, Upperhill na CBD. Hizi ni business districts tatu za Nairobi. Nyinyi mna business district moja.
Feel free to include articles like this too
😂😂😂😂😂😂😂Wadau nina picha moja ambayo imechanganya CBD na upperhill kwa picha moja. Ila kwa bahati mbaya westlands haionekani kwenye hio picha maana westlands iko mbali. Pia kuna majengo ya upperhill ambayo hayaonekani.
Tazama
Upperhill + CBD (without westlands)
View attachment 1674975
Hatari sana apana cheza.
Wewe kaa kando. Kama una catch mafeelings na unaongea matusi kaa kando.Like I’ve said before..no ones falling for your bullshit. Mdomo mwingi vitendo vichache! Hiyo CBD mavi nani haijui?
But did I lie? Au Kiswahili ni kikali zaidi unataka niseme kwa kiingereza? You’re CBD is SHITTY! There you go!Wewe kaa kando. Kama una catch mafeelings na unaongea matusi kaa kando.
Glass tatu glass tatu glass tatu za bluu. Wewe umeona nikirudia majengo kama wewe unavyorudia? Mimi nimeenda westlands nikawaonyesha majengo marefu ya westlands, nikatoka huko nikaenda upperhill nikawaonyesha majengo marefu ya huko. Bado hata sijafika CBD. Wewe bado unanionyesha glass tatu za bluu.
Bado hata sijafika CBD. Westlands yetu pekee inakimbizana na CBD yenu na unaongea matope hapa.But did I lie? Au Kiswahili ni kikali zaidi unataka niseme kwa kiingereza? You’re CBD is SHITTY! There you go!
😂😂😂😂😂 Mbona CBD yenu tayari umeshapost? There’s nothing new for me to see. Or is there?Bado hata sijafika CBD mjinga wewe. Westlands yetu pekee inakimbizana na CBD yenu na unaongea matope hapa.
Mbona nahesabu majumba tisa tu hapo??? Umeona ile density nimekuonyesha kwa ile picha yangu?😂😂😂😂😂😂😂
This one incorporates Dar’CBD alone. @NDNDA please leta zile picha za Upanga, Silicon Dar from the ocean
View attachment 1674984
Boss toa hio picha ya kariokoo hapa. Hapo hakuna skyscrapper. Huu mjadala ni wa skyscrapper pekee sio density. Nilikuambia density tutafanya mjadala huo siku nyingine.
Hebu weka hizo CBD zako tuzione maana umekuwa unalia lia tu.Mbona nahesabu majumba tisa tu hapo??? Umeona ile density nimekuonyesha kwa ile picha yangu?
Uliingia darasani wewe? Wewe si ndo unasema ni “accountant”. Of all jobs... hii ni aibu kushindwa kuhesabu!Glass tatu glass tatu glass tatu za bluu. Wewe umeona nikirudia majengo kama wewe unavyorudia? Mimi nimeenda westlands nikawaonyesha majengo marefu ya westlands, nikatoka huko nikaenda upperhill nikawaonyesha majengo marefu ya huko. Bado hata sijafika CBD. Wewe bado unanionyesha glass tatu za bluu.
Hii kijiko nyama naona inajitahidi kidogo lakini bado haifikii westlands wala upperhill.