Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunduma to Mutukula 1,263km ni jibu huu umbali
Screenshot_20210111-100001.png
 
Barabara zetu ni pana kushinda zenu. Wewe sijui unaongea nini.
Mzee hapo sio kweli 🙂nimepitia Barabara zenu Sana, mfano Nakuru county kuna sehemu inaitwa kiplong kama sijakosea jina Barabara upande huo ni mtihani kuanzia port holes mpaka upana,kwingine upande wa Rongo sema sahivi kuna mchina kapewa contract kampuni inaitwa China Chico labda atarekebisha,kuja keroka-kisii Barabara haitamaniki,Ayaa nenda muranga kuna shida Tanzania barabara Ni smooth Yani we Acha tu🙂
 
Dar es salaam to Mtwara 563km more 63km
View attachment 1674326
Tukubaliane kwamba starting point iwe Mombasa (ambayo iko ufuoni mwa bahari) maana naona wewe starting point zako zote ni Dar ambayo iko ufuoni mwa bahari. Tukifanya hivyo basi utatoroka humu maana Mombasa ipo mbali sana na maeneo mengi ya Kenya.
Mombasa to Busia ni 940 km

Screenshot_20210111-095602.jpg
 
Tukubaliane kwamba starting point iwe Mombasa (ambayo iko ufuoni mwa bahari) maana naona wewe starting point zako zote ni Dar ambayo iko ufuoni mwa bahari. Tukifanya hivyo basi utatoroka humu maana Mombasa ipo mbali sana na maeneo mengi ya Kenya.
Mombasa to Busia ni 940 km

View attachment 1674332
Hiyo barabara tumeshaitaja wakati nataja Mombasa to Kisumu. May be anzia kisumu tu Busia. Okay!!?
 
Hiyo barabara tumeshaitaja wakati nataja Mombasa to Kisumu. May be anzia kisumu tu Busia. Okay!!?
Hapana. Tupilia ya kisumu mbali. Sitaki mchezo. Wacha ya Mombasa - busia ibaki. Hio ya Mombasa - Kisumu tupulia mbali. Sina haja nayo.
 
Poa haina shida nijibu nimekuwekea Tunduma to Mutukula 1,263km, Dar to Mtwara 526km and Dar to Tunduma 863km
Sasa Iringa to Namanga via Dodoma 787km
View attachment 1674348
Mkuu ile barabara la Isiolo to Moyale (500 km) pia tupilia mbali maana barabara yenyewe inastahili kuanzia Mombasa. Barabara zangu zote zitaanzia Mombasa.
Ulisema nikujibu, ndio hili jibu ulilokuwa unatafuta.

Mombasa to Moyale ni 1206 km
Screenshot_20210111-101331.jpg
 
Mkuu ile barabara la Isiolo to Moyale (500 km) pia tupilia mbali maana barabara yenyewe inastahili kuanzia Mombasa. Barabara zangu zote zitaanzia Mombasa.
Ulisema nikujibu, ndio hili jibu ulilokuwa unatafuta.

Mombasa to Moyale ni 1206 km
View attachment 1674361
Sasa wewe kijana mbona unafanha cheating!? Isiolo to Mayole umeshaitaja.
Basi unatakiwa ulete Mombasa to Isiolo.
Hakuna barabara hats moja imejirudia kwangu. Twende vizuri ninafuatilia kwa umakini. Nijibu hiyo yangu ya 1,263km.
 
Cc: Geza Ulole si umewaona WB hao, ila kuna mbwa atakuja kusema Kenya ndo inaongoza, atakuwekea na source yake aliyotengeneza mwenyewe kwisha
Hiyo ni tweet ya World Bank? Leo hii World Bank wanaitwa Uwekezaji Tanzania? 😂 😂

Reuters ilizungumzia hiyo habari ya World Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Kenya in 2021

Sasa wewe kijana mbona unafanha cheating!? Isiolo to Mayole umeshaitaja.
Basi unatakiwa ulete Mombasa to Isiolo.
Hakuna barabara hats moja imejirudia kwangu. Twende vizuri ninafuatilia kwa umakini. Nijibu hiyo yangu ya 1,263km.
Mzee nimeshasema kwamba utupilie mbali Isiolo to Moyale (500 km). Usiihesabu hio. Ndio maana nimekupa Mombasa to Moyale ambayo ni ndefu zaidi 1206 km. Ukihesabu zote mbili ndio itakuwa cheating
 
Sasa wewe kijana mbona unafanha cheating!? Isiolo to Mayole umeshaitaja.
Basi unatakiwa ulete Mombasa to Isiolo.
Hakuna barabara hats moja imejirudia kwangu. Twende vizuri ninafuatilia kwa umakini. Nijibu hiyo yangu ya 1,263km.
Mshikaji anasahau Kenya inaingia Tanzania mara mbili na nusu🙂nisamehe kwa Leo maana hii game haiwezi Ila anajitahidi kuitetea inchi yake😃
 
Back
Top Bottom