The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Capitalism unaijua weweNyinyi socialists mnaweza kweli kukimbizana na sisi capitalists? Ucheze na capitalists mzee baba.






Capitalism unaijua weweNyinyi socialists mnaweza kweli kukimbizana na sisi capitalists? Ucheze na capitalists mzee baba.






ichoboy01 msikie huyuHio ni upperhill pekee. Bado kuna CBD na pia kuna westlands. Nairobi tuna 3 business districts na zote zina skyscrappers. Sio kama Dar Slum ambapo mna mahali moja tu ambapo mumemwaga gorofa zote. Hio ni poor planning. Sisi tuna skyscrappers mahali pengi, sio pahala pamoja kama nyinyi

anakuchokoza huku 



Zonal Hospital in Tanzania
1. Dar es salaam
2. Moshi
3. Dodoma
4.Mtwara
5. Mbeya
6. Musoma
7. Mwanza
8. Chato
Je, bado unalalamika!?
We umezipataje hzo taarifa km hakunaHiyo siyo kazi yangu Mzee. Wewe ndiye unatakiwa ulete hizo taarifa.
Barabara km yawatembea kw miguu walai





Kwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee
Suswa huwezi palinganisha na nothern kenya, watu hko sio pastoralists na normads km kulena nyie siku hizi huwa mnaangalia mahitaji...?.kumbe mmekua eeh
how about some of your sgr stations ex. Suswa station ,je imejengwa kulingana na mahitaji huko maporini....?View attachment 1674796
Hii density hapa hata uunganishe ghorofa zote za Kenya na Uganda hazifiki na hizo blue towers sizioniKwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee
Unajua hapo wapiKwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee


Hapa je unapajua?Kwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee



Tony km ulaya eeehhh, haya nioneshe blue towersKwani ni uongo? Sisi tuna business districts tatu na nyie mna moja. Na kama unapinga nipe majina ya eneo tatu za Dar ambazo zina skyscrappers nyingi. Najua utaniletea zile glass tatu za bluu pekee






Japan Ni ya Bridges,,China Ni SGR,,no where Japan did construct SGR hapa KenyaMambo ya bridge vs SGR wapi na wapi hahahahah
Mzee mimi siongei kuhusu density. Naongea kuhusu skyscrappers.Hii density hapa hata uunganishe ghorofa zote za Kenya na Uganda hazifiki na hizo blue towers sizioni
View attachment 1674817
Hahaha. Sasa hii ndio business district yenu. Si nikikuletea Westlands utafaint.
Ndo uzuri wa apartments km hz yn ghorofa moja zinakaa familia kibao ambazo kwa kawaida zingejaza uchafu kwa ground.Magomeni kota
Kaya 644 zitaishi apa 90%complete View attachment 1674868