Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo $75 just to book a hotel ni pesa kidogo kwako hadi unacheka? Nyinyi mnakuanga washenzi sana. Halafu naona Venus Star pia kacheka. Nyie mnajificha nyuma ya keyboard na kujifanya mnaishi rich lifestyle na kumbe mnaishi maisha ya kishamba tu. Kwa habari yako Walker255 hii hoteli ni international na rates zake zote ni standardized. Yaani hawajapunguza bei sana compared to hoteli za Europe. Ukienda Radisson blue iliyoko Prague unabook na ksh 11,668 ambayo ni takriban USD 100. Kwa hivyo hio USD 75 ya Park in Radisson ni standardized rate na inakaribia $100 ya Radisson blue ya Prague.

View attachment 1672904
Halafu nina message nyingine kwa Geza Ulole. Wewe umenidharau sana. Ulishasema mimi sio mchumi. Sasa nataka useme kwamba mimi sijaishi Czech Republic nikuonyeshe mambo.
Living in Czech republic has nothing to do with being an Economist, hebu pita hapa uone price tags za hotel Tanzania [emoji116][emoji116]

Nchi kukopa kwa ajili ya miradi ya kimaendeleo ndo kielelezo cha kuwa nchi maskini? Hv uchumi ulisomea wapi vilee ili nisije kuthubutu kupeleka mwanangu huko [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Tanzania ndio inaruhusiwa sio[emoji1787][emoji1787]
 
Hata hio nina evidence. Huwa mnapenda kudeny kila kitu
Kuishi Czech wala sikupingi ni kawaida tu mbn, ila weka hapa evidence tuone km kuna hoteli kenya inafika prices za Tz na ukiweka moja inayofika 1m per night nitakushangaza zaidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
yaani huko unapanda kilima mpaka engene inasema yes ila kwa gari mbovu mbovu kama zakikenya hazipaswi kuwa na fly over kama hiyo waendelee tu kupanga matofari kwani kwa mzigo kama huo gari zao zitakwama njiani nakuanza kurudi nyuma outomatic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari
 
Kama tumetumia miaka mi4 tu kufanya mambo ambayo hamjawahi kuyaota kuwa nayo ndo itatushinda hiyo MW 10,000? Btw mambo mengine huwa hayaepukiki mana kwa miradi tuliyonayo itatulazimisha tuwe na mahitaji ya MW zaidi ya 10,000.
Mumefanya vitu ambavyo tulishavifanya tayari[emoji1787][emoji1787]
Tanzania bado mnatembelea nyota tu wala hmna jipya mbele yetu
 
Onesha ni kitu gani mnacho kati ya hivi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji375][emoji373][emoji2923]
JamiiForums-714189654.jpg
Screenshot_20210107-154401.jpg
JamiiForums1181133540.jpg
Screenshot_20210105-235019.jpg
IMG_20201228_091455_807~2.jpg
JamiiForums-1607428556.jpg
 
Kuishi Czech wala sikupingi ni kawaida tu mbn, ila weka hapa evidence tuone km kuna hoteli kenya inafika prices za Tz na ukiweka moja inayofika 1m per night nitakushangaza zaidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna hoteli moja ambayo Modi wa India, Yule mama kiongozi wa Korea Kusini , Netanyahu wa Israel, Barack Obama alipokuwa rais walipolala. Hoteli hio inaitwa Villa Rosa Kempinski. Ninarudia, Rais au Waziri wakuu wa Israel, South Korea, India na USA wamelala kwenye hoteli hio.

1610198906993.png

Kwa bahati mbaya hawajaandika price ya presidential suite. Lakini hoteli ambayo Obama analala ndani wakati yeye bado ni rais lazima iwe ina bei ya juu. Lakini wameandika amenities na services za presidential suite
1610199197800.png

1610199234087.png
 
Kuna hoteli moja ambayo Modi wa India, Yule mama kiongozi wa Korea Kusini , Netanyahu wa Israel, Barack Obama alipokuwa rais walipolala. Hoteli hio inaitwa Villa Rosa Kempinski. Ninarudia, Rais au Waziri wakuu wa Israel, South Korea, India na USA wamelala kwenye hoteli hio.

View attachment 1672921

Kwa bahati mbaya hawajaandika price ya presidential suite. Lakini hoteli ambayo Obama analala ndani wakati yeye bado ni rais lazima iwe ina bei ya juu. Lakini wameandika amenities na services za presidential suite
View attachment 1672928
View attachment 1672929
Kwahiyo hao kina Obama walipokuja huku kwetu walilala kwenye zizi la ng'ombe au?
 
Mimi sijapinga kwamba nyinyi mna hoteli kali, wewe ndio unapinga kwamba sisi hatuna hoteli kali. Usibadilishe mada mzee.
 
Kuna hoteli moja ambayo Modi wa India, Yule mama kiongozi wa Korea Kusini , Netanyahu wa Israel, Barack Obama alipokuwa rais walipolala. Hoteli hio inaitwa Villa Rosa Kempinski. Ninarudia, Rais au Waziri wakuu wa Israel, South Korea, India na USA wamelala kwenye hoteli hio.

View attachment 1672921

Kwa bahati mbaya hawajaandika price ya presidential suite. Lakini hoteli ambayo Obama analala ndani wakati yeye bado ni rais lazima iwe ina bei ya juu. Lakini wameandika amenities na services za presidential suite
View attachment 1672928
View attachment 1672929
obama mara sijui wa izrael. nini hii mpo outdate sana kwenye masuala ya hotels...

ninawasiwasi hao viongozi kwenye hiyo hotel bila shaka walipambana na kunguni wa kutosha sema wakaamua kuuchuna tu[emoji1787]
 
Vila Rosa Kempinski is an international brand. Wewe endelea kula kwa kibanda cha mama ntilie. Mambo haya huyaelewi.
 
Mimi sijapinga kwamba nyinyi mna hoteli kali, wewe ndio unapinga kwamba sisi hatuna hoteli kali. Usibadilishe mada mzee.
Wapi nimesema hamna hoteli kali? Ninachosema ni kwamba inawezekana sisi tuna hoteli kali kuliko nyie.
 
Kwa hivyo $75 just to book a hotel ni pesa kidogo kwako hadi unacheka? Nyinyi mnakuanga washenzi sana. Halafu naona Venus Star pia kacheka. Nyie mnajificha nyuma ya keyboard na kujifanya mnaishi rich lifestyle na kumbe mnaishi maisha ya kishamba tu. Kwa habari yako Walker255 hii hoteli ni international na rates zake zote ni standardized. Yaani hawajapunguza bei sana compared to hoteli za Europe. Ukienda Radisson blue iliyoko Prague unabook na ksh 11,668 ambayo ni takriban USD 100. Kwa hivyo hio USD 75 ya Park in Radisson ni standardized rate na inakaribia $100 ya Radisson blue ya Prague.

View attachment 1672904
Halafu nina message nyingine kwa Geza Ulole. Wewe umenidharau sana. Ulishasema mimi sio mchumi. Sasa nataka useme kwamba mimi sijaishi Czech Republic nikuonyeshe mambo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Why would I pretend to have a “comfortable” lifestyle while I don’t lead it? And perhaps you didn’t understand me the first time..I did not say that the hotel isn’t international! Also, I don’t need to go anywhere to prove your ridiculous argument! The standard room at that hotel costs $74.40 a night. Period! For me, that’s a really fair price to be considered “expensive.” That’s why I quoted you and asked if that price is high in your standards!
 
Back
Top Bottom