Boss kama hii international hotel ni water tank pia ni sawa. Hii ni hoteli ya Radisson group mshamba kutoka Lazyland anaiita water tank. Pengine hata hujawahi kanyaga ndani ya hoteli yoyote ya Radisson na upo buzy kurusha matusi kwamba jengo hili ni water tank
Hoteli kama hii sio ya hadhi yako.
View attachment 1672786
Mjinga wewe naomba utazame hio screenshot niliyokuwekea uone kwamba hapo chini imeandikwa "Book this hotel from USD 74.70". Yaani kubook hoteli pekee tayari lazima uhare USD 74 na bado hujaanza kuspend kwenye food wala rooms. Wacha mchezo dogo. Hili sio water tank na sio hoteli ya hadhi yako. Jikite kwenye mama ntilie.