Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wengine wakiendelea kupiga makelele sisi tunachapa kazi.View attachment 1672076View attachment 1672077
Mnamkumbuka huyu mkumbaf aliyefungua huu uzi

 
Mnamkumbuka huyu mkumbaf aliyefungua huu uzi

watafanyaje sasa wakati wako kwenye kipindi kigumu kuliko wakati wowote kwenye maisja yao.

tuwasamehe tu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenya kwa haya maenoe wacha tu,,tuko on top

Who is african full facts 🤣🤣 is that ur official source just be frank

🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 jitieni vidole alfu munuse harufu wenyewe
93161AFB-54E8-4DCC-B529-CCCFA295EADE.jpeg
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza! Until I posted my pictures, you didn’t think you had a threat! 😂😂😂
🤣🤣🤣Eti threat?? Huto tu building along the road tuwe threat🤣🤣threat to upperhill Ni sandton SA
 
Mnamkumbuka huyu mkumbaf aliyefungua huu uzi

haya sasa kazi kwake afungue thread aipe tittle ya daraja la sgr tanzania lajengwa
 
Si wewe ndio jana ulisema kuwa TZ haiwezi kuomba mkopo wa SGR kutoka China? Nilisema kuwa mtaomba mkopo ukaona kama nadanganya. Mimi najua kuwa nchi yenu ni masikini na haiwezi kujenga hilo stretch kutoka Dar hadi Burundi bila mikopo. Usiwe unapingana na mimi jamaa. Najua ninachosema.
Leta evidence wapi nilisema hivyo! Nimekuwa nikikandia mikopo ya kipumbavu Kenya imekuwa ikichukua China na sijawahi kusema Tanzania haitachukua mikopo Uchina bali nimekuwa nikisisitiza haitakuwa ya kijinga!?
 
Back
Top Bottom