Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good evening for all albino hunters in this group. Kakamega has better roads than all Tanzanian cities outside Dar is slum.

View attachment 1671887
Sumbawanga🤣🤣👇👇
E9FE653B-8CC6-4DB8-B721-08BD0C9398C3.jpeg
6F572ED3-8263-4F03-86D9-26199D02250C.jpeg
 
So umepanic au 🤣🤣🤣🤣
Hiyo low quality path can't give me headache hata kidogo. Next time mkijenga barabara please jengeni vitu za high quality please🤣😂😂
 
Duuu noma sana...hiv kwa anayejua ni nchi ngapi Africa zinazozalisha umeme wa 10,000MW??..nataka nione ikiwa TZ ikifikia ilo lengo 2025 ni nchi ngap tutakuwa nazo kwenye league moja
Kama saa hii munazalisha chini ya 2,000 MW baada ya miaka takriban 60 baada ya uhuru, ni bangi gani inakudanganya kuwa mtazalisha 10,000 by 2025?
 
Uhuru Market Kisumu is 80% complete. It will accommodate 10,000 traders at a go. Huku Kenya hatujengi vibanda venye vinabeba watu 18 and then we call it a market like a certain poor country towards the south😂😂

IMG_20210108_135520.jpg
 
Kama saa hii munazalisha chini ya 2,000 MW baada ya miaka takriban 60 baada ya uhuru, ni bangi gani inakudanganya kuwa mtazalisha 10,000 by 2025?
Kama tumetumia miaka mi4 tu kufanya mambo ambayo hamjawahi kuyaota kuwa nayo ndo itatushinda hiyo MW 10,000? Btw mambo mengine huwa hayaepukiki mana kwa miradi tuliyonayo itatulazimisha tuwe na mahitaji ya MW zaidi ya 10,000.
 
Wewe kweli huelewi mambo ya uchumi. Demand ya 10,000 MW itatoka wapi?
 
umeona enhee hawa jamaa si watu wana chuki na wivu kinoma! Imagine hata media houses zinashindwa kufanya kazi kwa kufuata guidelines za Professionalism! that's the biggest news in Africa for this year!
Yani media za kenya kutoripoti hii habari ndo inakuuma hivi?
 
View attachment 1671492

Uyu jamaa anashangaa kuona samaki waajabu kwaajili ya msoc...hii ndo T

Uhuru Market Kisumu is 80% complete. It will accommodate 10,000 traders at a go. Huku Kenya hatujengi vibanda venye vinabeba watu 18 and then we call it a market like a certain poor country towards the south😂😂

View attachment 1671900
Acha usenge kabisa aisee! Huwa sipendi kabisa kutukana lakini nimejikuta nimeshatukana. Hii iliyokaa kama shed ya kufugia nguruwe ndio ina capacity ya kubeba 10,000 traders! Labda hawkers but not traders! Kweli nimeamini kenya ni failed state!
 
Back
Top Bottom