Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,206
- 2,626
🤣🤣🤣👇👇👇 rushwa nje nje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Kwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.
Super power kisa madaraja na ndegeWewe endelea kubwabwaja tu while East Africa's super power is loading at amazing speed!


Maumivu ya kichwa uanza taaratibu na maumivu yakizidi njoo TZ tukutulize. Only time will tell my dear Komora! 😀 😀 😀Super power kisa madaraja na ndege![]()
Hao wako kazini, endelea kuwapa shavu tu..unafikiria ni kila channel ni ya kuiokota na kuileta huku...Eti wana compare the ksh12.8bn with ksh1.7bn aibu naona mm wallahi hahahahaaaaaa, ona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Semeni mturuki kawapiga baada ya kuona nikm atawapa kitu cha maana yeye akaleta kituko cha mwaka..Hii technique anayotumia jiwe ni the best sn, yn kipande hiki wanajenga waturuki, kipande hiki wachina lkn treni wata supply wakorea, yn hapo wanashindana ili kutoa kitu quality wapate tenda zingine.
Sio km jamaa zetu kila kitu wamempa mtu mmoja mwishowe anafanya kazi kwa mazoea cz hata akiharibu tender zipo tu.
Big up to My president, H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mr. SGR buldozer kiboko ya Mungiki![]()


Ushaanza kua pc mbovu, ingekua sifa sana kama tungeanza first electric sgr ikiwa double stackReli yenu ni inabeba double stack..
Nyie ndio mumetandikwa
Hivi unakataa km mlikimbia ligi ya prinary schoolsWaliokimbia ni wapi?
Nina shule zaidi ya 100 za serikali hapa FYI piruuu![]()



Sisi wachina tumeanza nao tangu zamani sana miaka ya 60's kuanzia kujenga reli na barabara. Hatujawajua leo kama nyie ndo maana wanawapelekesha na kuwaingiza mkenge kiboya boya. Na hapa Tz wapo miaka mingi wanafanya kazi za ujenzi hivyo tumefanya nao kazi nyingi, tumewazoea na tunawajua ndiyo maana hawawezi kutuletea upimbi na wakijaribu tunawatimua. Siyo kama nyie mnawatetemekea mpaka wanawatandika viboko/fimbo matakoni watu wazima na familia zenu. NYAMBAFU!Semeni mturuki kawapiga baada ya kuona nikm atawapa kitu cha maana yeye akaleta kituko cha mwaka..
Sasa mumeamua kurudi kw wenye kazi hzo, wachina hakuna wakumzidi hyo sector..
Hela yako ndio itamshawishi
Mpunga km haueleweki anakudungia kitu km cha ethiopia, ukileta ujuaji anawapiga km nigeria![]()
Shule za uswazi ziko wapiIna utechnical gani?
Takataka hizi zote zipo Nairobi
Hii ipo Kagera better, bigger, massive
View attachment 1670952View attachment 1670953View attachment 1670954View attachment 1670955View attachment 1670956View attachment 1670957
UmeshindwaNdio maana kawajengea takataka![]()



Lete za milioni moja za uswazi tanzaniaLOL imetumwa zaidi ya million 3
Bro hapo pa ku talk less and do more umedanganya😂😂😂 mnapayuka sana! Kelele kibao kutoka kwa mukulu na uzinduzi, mawaziri, na raiya, ni muda mrefu hamjaona maendeleo bado mnashangaa shangaa! Mlianza kwa kusherehekia lift, sasa ni flyovers na ni chache bado😂 wenzako wanakiri😂😂Endelea kujiliwaza na hivyo viblog uchwara sisi tunasonga mbele kwa mbele by the time mnakuja ku-realize tayari kumeshakucha! We talk less and do more!
Narudia tena mturuki kawapiga, tayari keshawaekea miundombinu ya umeme ya kiboya.Hizi 50 double stack wagons tutaenda kuziendeshea kwenye white elephant yenu?
View attachment 1670961
Semeni mumerudi kw mchina baada ya kupigwa vibaya sana na mturuki..


