Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have been saying it here that Tanzanians are admiring our roads and towns na wanakataa, sasa ebu ona huyu nguruwe anaiba barabara ya Kenya🤣🤣🤣

View attachment 1671033
Wanaichanganya na Hii
tengeru-Sakina Highway (hii ndio yetu)
1931866_Screen-Shot-2018-06-24-at-12.39.16-PM.jpg
images%20(3).jpeg
images%20(4).jpeg
 
Wivu itakunyonga kaka 😛 😛 😂 😂 unatamani sana fikra zako ziwe kweli lakini haliwezekani😂😂😂, higher education ndio hata hampo kabisaaaa!!😂😂😂 anyway "dreams are valid"., keep trying tu...,
Shule ziwashinde colleges ndio muweze? Are you a clown? 🎃🎃🎃🎃
 
Tanzania tunajenga zaidi ya kilometres 1100 ndani ya miaka mi3 tumeajiri kwa pesa zetu na mambo yanaenda kwenye miradi mingine ya billions of dollars

Ninyi hamna mradi hata mmoja wenye thamani ya dollar billion 1 lakini wafanyakazi wana miezi 6 hawajapata hata cent 🎃🎃🎃🎃
unajua ulisemalo ama ni kuropokwa?😂😂😂 wafanyikazi wa kenya wanapata mishahara zaidi ya wa kwenu na bado wanataka waongezewe mishahara zaidi kama walivyo sikilizana na muajiri, na wengine wanataka wapandishwedaraja kama ilivyo desturi., Kenya sio Tanzania ambayo serikali inakunyanyasa na haujui haki yako, pole next time ata kama ni uzembe, try to get proper background info ya what is happening😂😂😂😂, Tanzania imewai kua na industrial strikes kweli?., mumeshikwa makende deadly!
 
Shule ziwashinde colleges ndio muweze? Are you a clown? 🎃🎃🎃🎃
Jengeni shule iambatane na population yenu., kisha mtafute walimu wa kenya zaidi tuwaondolee ignorance iliyo kithiri, kwanza wewe jiangalie ulivyo ndwazi!, hauna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua lako😂😂😂😂
 
Ila wakuu mturuki japo yuko slow lkn kazi zako zinapendeza sn machoni au mnasemaje wakuu
Binafsi nilipenda ajenge njia nzima to mza and kgm lakini ndio hivyo tena.
Ila najiuliza $1.3 kwa km 341 duh kama kiduchu!
Mchina asije jenga Station za sifa mza na shy😄😄😄
 
unajua ulisemalo ama ni kuropokwa?😂😂😂 wafanyikazi wa kenya wanapata mishahara zaidi ya wa kwenu na bado wanataka waongezewe mishahara zaidi kama walivyo sikilizana na muajiri, na wengine wanataka wapandishwedaraja kama ilivyo desturi., Kenya sio Tanzania ambayo serikali inakunyanyasa na haujui haki yako, pole next time ata kama ni uzembe, try to get proper background info ya what is happening😂😂😂😂, Tanzania imewai kua na industrial strikes kweli?., mumeshikwa makende deadly!
Huyu hakuwa mungiki mwenzio? 🎃🎃🎃
 
Huyu hakuwa mungiki mwenzio? 🎃🎃🎃

Depends with the county which he belongs|(health is a devolved function in Kenya), and on what terms were his contract too, of which they get their money even if it delays, inakuja kwa ujumla! I insist always get to the bottom of how things are done in Kenya then argue, that aside, get the background info about the latest health strike., sawa?
 
Today's facts.

Did you know that Kenya has twice the number of Primary Schools as Tanzania despite Tanzania having a bigger population?

I think you should know that.
You must be slowly loosing your mind. Be careful!
 
Back
Top Bottom