Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Electric train construction from Jkia to CBD to start this March[emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
Kwnn mnaunga unga? Mujenge kitu proper km mnajenga basi mjenge na co nusu nusu au hamna hela, au watoa mikopo wanaringa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Umepanic tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂 😂 😂 unajua maana ya ku panic kweli? najua unakurupuka tu english words na hauna uwakika😂😂😂😂😂😂😂, nimetazama hizo clips za Mwanza kaka, wacha kunichekesha, stick to your lane bro tu.., sijaona any residential close to the ones in Eldoret kamwe., Mwanza ni blend ya village na town, period.😂😂😂😂
 
😂 😂 😂 unajua maana ya ku panic kweli? najua unakurupuka tu english words na hauna uwakika😂😂😂😂😂😂😂, nimetazama hizo clips za Mwanza kaka, wacha kunichekesha, stick to your lane bro tu.., sijaona any residential close to the ones in Eldoret kamwe., Mwanza ni blend ya village na town, petiod.😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 narudia tena ukitoka hapa ww mwanaume 👇👇👇👇👇🤣🤣
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag 🤣🤣🤣👇

Hujui kwamba wachina ndio walitaka kutujengea SGR yetu kwa njia za kitapeli kama walivyowafanyia nyie. Kwa vile watz tunajua nini tunachofanya tukaona hawa wanataka kutuingiza mkenge hivyo tukaachana nao na kumchukua mturuki. Mturuki si mbaya ni wazuri na tena wanajenga kwa stndard za europe sema kwamba reli yetu ni ndefu sana na mturuki amechukua karibu nusu ya hiyo reli hivyo huwezi kumpa mturuki ajenge yote. Kwenye project kubwa kama hii uwezi kuweka kampuni/mkandarasi mmoja tu ndio ajenge. Hata barabara huwa zijengwa kwa vipande na wakandarasi tofauti, kwenye ujenzi hilo ni jambo la kawaida tu bimkubwa! Labda kama wangekuwa wameifund ujenzi wa hiyo SGR ndio tungekuwa hatuna ujanja.
Sio mambo ya njoa za kitapeli, ubora wa reli yake na hela yenu ndogo..sasa mlitaka afanyeje lazima atajitoa[emoji1787][emoji1787]

Kisha kinachonishangaza european standards imekaa kimeko meko vile...
Msijali atawakomboa katika hilo janga ambalo mturuki alikua anataka kulileta
 
Good evening to everyone here, where did we stop yesterday?. Today I want to start facts concerning education system in Kenya and Tanzania🤣🤣🤣😂

IMG_20210106_211012_847.JPG
IMG_20210106_211023_036.JPG
 
🤣🤣🤣🤣 yani ni wajinga hawa jamaa amepost picha ya mtwapa kuna slum ya kutosha hapo nyuma
ona ulivyo boya kishenzi😂😂😂 hauna bando?🤷‍♂️ nili post video clip kaka not picha nyambaff!😂😂😂, najua upendi ukweli, lakini vumilia tu bro.,😂😂😂😂 una imagine tu slums ukitafuta pakutokea!!
 
From the reading my first fact is that Kenya has more schools than Tanzania despite Tanzania having a bigger population. What does that mean? It means that Tanzanian government didn't see the need to build more schools since most Tanzanian pupils and students are sorcerers and witches🤣🤣😂😂👇👇

IMG_20210106_200406_503.JPG
IMG_20210106_200323_041.JPG
 
Semeni mturuki kawapiga baada ya kuona nikm atawapa kitu cha maana yeye akaleta kituko cha mwaka..
Sasa mumeamua kurudi kw wenye kazi hzo, wachina hakuna wakumzidi hyo sector..
Hela yako ndio itamshawishi

Mpunga km haueleweki anakudungia kitu km cha ethiopia, ukileta ujuaji anawapiga km nigeria[emoji1787][emoji1787]
But all the countries' sgr u mentioned have been finished and they are better by far as compared to ur upgraded mgr that u call sgr, the railway to nowhere [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Sio mambo ya njoa za kitapeli, ubora wa reli yake na hela yenu ndogo..sasa mlitaka afanyeje lazima atajitoa[emoji1787][emoji1787]

Kisha kinachonishangaza european standards imekaa kimeko meko vile...
Msijali atawakomboa katika hilo janga ambalo mturuki alikua anataka kulileta
Mi niko tayari kukulipia nauli ya kuja na kurudi Mombasa uje ushuhudie na kuona reli ya SGR ya umeme ili uondoe hayo mawazo potofu yaliyojaa kichwanai mwako maana naamini huwa unaona reli zenye umeme kwenye TV/video tu za ulaya na marekani. Karibu sana mpenzi Komora kila kitu nitalipia sisi ni wakarimu sana kwa wageni hivyo usiwe na wasi. 😀 😀 😀 😀
 
Bro hapo pa ku talk less and do more umedanganya[emoji23][emoji23][emoji23] mnapayuka sana! Kelele kibao kutoka kwa mukulu na uzinduzi, mawaziri, na raiya, ni muda mrefu hamjaona maendeleo bado mnashangaa shangaa! Mlianza kwa kusherehekia lift, sasa ni flyovers na ni chache bado[emoji23] wenzako wanakiri[emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1671016
Evidence kutoka UFIPA au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hao mbn cku hz hawaongei kabisa mana wanaona aibu jinc hii kasi ya jemedari ilivyo kubwa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
But all the countries' sgr u mentioned have been finished and they are better by far as compared to ur upgraded mgr that u call sgr, the railway to nowhere [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Bwahahah!!emu rudia tena huu utumbo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kisa kuoigwa ndio umeamua kulia vibaya hivi
 
Mi niko tayari kukulipia nauli ya kuja na kurudi Mombasa uje ushuhudie na kuona reli ya SGR ya umeme ili uondoe hayo mawazo potofu yaliyojaa kichwanai mwako maana naamini huwa unaona reli zenye umeme kwenye TV/video tu za ulaya na marekani. Karibu sana mpenzi Komora kila kitu nitalipia sisi ni wakarimu sana kwa wageni hivyo usiwe na wasi. 😀 😀 😀 😀
Kwn kuna mtanzania ambaye ashawai ona SGR hko kwenu tangia dunia iumbwe[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom