Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag 🤣🤣🤣👇











Umejaribu kujitetea sana😂😂😂😉😂 not yet there, let Mwanza relax with akina Thika na Machakos tu kaka, no offense, nice try!😂😂., Mwanza ni nyumbani? unaitetea sana!
 
Electric train construction from Jkia to CBD to start this March👏💪💪💪

Si hata SGR mliambiwa hvo mumesahau leo 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
5FF1227E-8CCB-4277-802B-8A853B59E89E.jpeg
 
Leo yamekua hayo, kwn european standards hamuitaki tena

Mara ya kwanza mlimkejeli kisa mturuki kakubali pesa kidogo sasa madhar yake mumeanza kuyaona imebidi mrudi kw mchina..
Ila poleni sana jamani, sai ingelikua mnachanga mbuga dar moro lkn mturuki hakuwapenda
Itabidi mumpeleke mahakamani
Hujui kwamba wachina ndio walitaka kutujengea SGR yetu kwa njia za kitapeli kama walivyowafanyia nyie. Kwa vile watz tunajua nini tunachofanya tukaona hawa wanataka kutuingiza mkenge hivyo tukaachana nao na kumchukua mturuki. Mturuki si mbaya ni wazuri na tena wanajenga kwa stndard za europe sema kwamba reli yetu ni ndefu sana na mturuki amechukua karibu nusu ya hiyo reli hivyo huwezi kumpa mturuki ajenge yote. Kwenye project kubwa kama hii uwezi kuweka kampuni/mkandarasi mmoja tu ndio ajenge. Hata barabara huwa zijengwa kwa vipande na wakandarasi tofauti, kwenye ujenzi hilo ni jambo la kawaida tu bimkubwa! Labda kama wangekuwa wameifund ujenzi wa hiyo SGR ndio tungekuwa hatuna ujanja.
 
Umejaribu kujitetea sana😂😂😂😉😂 not yet there, let Mwanza relax with akina Thika na Machakos tu kaka, no offense, nice try!😂😂., Mwanza ni nyumbani? unaitetea sana!
Chomoka na hapo kama ww mwanaume kweli nitambue leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I have been saying it here that Tanzanians are admiring our roads and towns na wanakataa, sasa ebu ona huyu nguruwe anaiba barabara ya Kenya😂😂🤣🤣🤣👇👇

IMG_20210107_173905_563.JPG
 
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag 🤣🤣🤣👇











Hii 👇👇moja inakufunika mbaya! I told you Eldoret is even ahead of Mwanza...,😂😂😂

 
Back
Top Bottom