Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
LOL imetumwa zaidi ya million 3Hii hapa mbagathi girls ya kiberaView attachment 1670941
LOL imetumwa zaidi ya million 3Hii hapa mbagathi girls ya kiberaView attachment 1670941
Hahaha eti mombasa ishindane na mwanza🤣🤣🤣👇👇
Mpaka tutorial centers dadeq 🎃🎃🎃Watanzania tupeni shule za uswazi jamani...
Kibera town center instituteView attachment 1670943
Hizi 50 double stack wagons tutaenda kuziendeshea kwenye white elephant yenu? 🎃🎃🎃Reli yenu ni inabeba double stack..
Nyie ndio mumetandikwa
Hahaha eti mombasa ishindane na mwanza🤣🤣🤣👇👇
Hahaha eti mombasa ishindane na mwanza🤣🤣🤣👇👇
Wewe endelea kubwabwaja tu while East Africa's super power is loading at amazing speed!Mna uhaba wa madarasa nchi nzima na hyo ni fact, sasa hapo mumendelea wapi katika sekta ya elimu..
Au maendeleo ni kufanya vitu ambavyo mwenzio kakutangulia karne iliyopita
Kweli maskini akipata matako hulia mbata..
Yani mumejenga madaraja, barabara karne hii basi mnajikuta hamna km nyinyi dunia nzima![]()







How....Yapi kajiua mwenyewe
Hii technique anayotumia jiwe ni the best sn, yn kipande hiki wanajenga waturuki, kipande hiki wachina lkn treni wata supply wakorea, yn hapo wanashindana ili kutoa kitu quality wapate tenda zingine.








Kwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.Hahahaha sijategemea kujua wakenya hawana shule kabisa, sasa hiyo elimu wanaosema ipo juu wanajifunzia wapi?
Sio wamempa, hawawezi kuchagua constructor sababu jeuri ya pesa hawana, wao wametoa eneo tu mchina atajenga kwa viwango anavyojua yeye na kujisimamia mwenyewe na kuendesha mwenyewe miaka zaidi ya 30 mpaka atosheke ndio awakabidhi 🤣Hii technique anayotumia jiwe ni the best sn, yn kipande hiki wanajenga waturuki, kipande hiki wachina lkn treni wata supply wakorea, yn hapo wanashindana ili kutoa kitu quality wapate tenda zingine.
Sio km jamaa zetu kila kitu wamempa mtu mmoja mwishowe anafanya kazi kwa mazoea cz hata akiharibu tender zipo tu.
Big up to My president, H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mr. SGR buldozer kiboko ya Mungiki![]()
Wapuuzi sanaKwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.
Unaweka mpk mitumba mnayobadilisha lebo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kenya EPZ export more apparel under AGOA than tz so l can understand the jealousy,We export LEVIS,WRANGLER,CALVIN KLEIN,VICTORIA SECRET GARMENTS and many more.Unaweka mpk mitumba mnayobadilisha lebo![]()