Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Robert Alai mwenye aliweka picha za SGR eti flyover zinaporomoka? this is a sadist anatafuta traffic na likes, how sure are u ni picha za 2020? Tazama na Tanzania mlivyo ovyo na mnajidai hamuna ufisadi, hamkufunga uchumi, kwa pesa za ndani, hapa kazi tu narratie etc

1610039202089.png

1610039244764.png

Tazama hardship yenye watoto wa Tanzania mashinani wanapitia sasa mtasingizia nini? afadhali sisi kwetu tutasema ufisadi na ukame hivi., nyie hii ni laana ya kiaina!!
1610039346315.png

Challenges of school children in Tanzanian villages.

1610039548905.png

Kwa hili pia nyinyi mjichunguze sana!! Pambaneni na hali yenu!
 
Media za Kenya zimesusia hii habari! Unakjua unakpokuwa na ukata wa ku-finance budget halafu mwenzio anatoa $1.3 bln cash lazma upatwe na homa ya maharuani! Siwashangai!
tayari Tony254 anadai ati tutajengewa kwa mkopo kama wao!
Wataandika bado wanatafuta kichwa cha habari[emoji23][emoji23]
 
Kwa nini mwwnafunzi mkenya wa darasa la 4 mwaka jana mpaka leo yupo darasa la 4? Unaona ulivyo kilaza?
Kenya was on lockdown, nyie si hamkufunga uchumi, na ata hivyo, deduct one year then, still the whole project cannot take 3 years!! Unaona? mimi si kuonei, ni wewe unaonyesha udhaifu wako wazi wazi 😂 😂 😂
 
Depends with the county which he belongs|(health is a devolved function in Kenya), and on what terms were his contract too, of which they get their money even if it delays, inakuja kwa ujumla! I insist always get to the bottom of how things are done in Kenya then argue, that aside, get the background info about the latest health strike., sawa?
Robert Alai mwenye aliweka picha za SGR eti flyover zinaporomoka? this is a sadist anatafuta traffic na likes, how sure are u ni picha za 2020? Tazama na Tanzania mlivyo ovyo na mnajidai hamuna ufisadi, hamkufunga uchumi, kwa pesa za ndani, hapa kazi tu narratie etc

View attachment 1671141

View attachment 1671142

Tazama hardship yenye watoto wa Tanzania mashinani wanapitia sasa mtasingizia nini? afadhali sisi kwetu tutasema ufisadi na ukame hivi., nyie hii ni laana ya kiaina!!
View attachment 1671145
Challenges of school children in Tanzanian villages.

View attachment 1671153

Kwa hili pia nyinyi mjichunguze sana!! Pambaneni na hali yenu!
Excuse za kitoto 🚮🚮🚮🚮

Facts
Mishahara imewashinda
Elimu yenu ya chooni

Hivyo tu
 
Kenya was on lockdown, nyie si hamkufunga uchumi, na ata hivyo, deduct one year then, still the whole project cannot take 3 years!! Unaona? mimi si kuonei, ni wewe unaonyesha udhaifu wako wazi wazi 😂 😂 😂
Yaani kweli we kilaza kwani waturuki walikuwa watanzania? Materials za ujenzi na logistics zote zilikuwa Tanzania?

After all mradi ulikua wa miezi 36
 
Yaani kweli we kilaza kwani waturuki walikuwa watanzania? Materials za ujenzi na logistics zote zilikuwa Tanzania?

After all mradi ulikua wa miezi 36
Talking of the whole project wewe KILAZA over a thousand km as u indicated idiot!😂😂😂, kama ni phase one pekee 3 years ni nyingi mno!!, with those ugly looking stations!
 
Hizi Vocational Education & Training Authority ni colleges zilizopo countrywide najua wakenya haya mambo hawana

Nilikua nataka nianze battle yake ila baada ya kuingia chimbo kufanya evaluation analysis ya experience ya battle ya shule, nimetafakari nikaona niwasamehe tu sababu ni kama kuua mbu kwa hydrogen bomb

Nimekuja kujua watanzania tuna the best practical education system Africa

DSC_9634.JPG
DSC_6756.JPG
images - 2021-01-07T203455.536.jpeg
UmerkYFGmagfUExnmuAzbM8dwsBPJxi9L4VwbFH9.jpeg
mqdefault (1).jpg
CPhuRZkXAAAc1DP.jpg
 
Wachina wanafanya kazi kulingana na wewe ulivyoView attachment 1671112
Upepo umebadilika, tangia european standards mpka wachina wanafanya kazi kulingana na wewe ulivyo[emoji1787][emoji1787]

Mlishindwa na hela ya kumpa phase ya kwanza na ya pili, ikabidi apewe mturuki ambae hela na uwezo wake ilikua vinaendana..
Anachowafanya na nyie si mnakiona[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom