Sijawahi kuona mkenya kilaza kama wewe, tunnels atengeze za kuaccommodate double stack, cable avurunde? Kaa kushoto na argument zako za kipimbi 👉👉👉Narudia tena mturuki kawapiga, tayari keshawaekea miundombinu ya umeme ya kiboya.
Pale hapapiti container mbili
Leo yamekua hayo, kwn european standards hamuitaki tenaSisi wachina tumeanza nao tangu zamani sana miaka ya 60's kuanzia kujenga reli na barabara. Hatujawajua leo kama nyie ndo maana wanawapelekesha na kuwaingiza mkenge kiboya boya. Na hapa Tz wapo miaka mingi wanafanya kazi za ujenzi hivyo tumefanya nao kazi nyingi, tumewazoea na tunawajua ndiyo maana hawawezi kutuletea upimbi na wakijaribu tunawatimua. Siyo kama nyie mnawatetemekea mpaka wanawatandika viboko/fimbo matakoni watu wazima na familia zenu. NYAMBAFU!



Mumetandikwa wajumbe, kubalini tu jamani wala hamtokufa...Ushaanza kua pc mbovu, ingekua sifa sana kama tungeanza first electric sgr ikiwa double stack
League ilikua za shule za msingi au shule kwa ujumla 🎃🎃🎃 kwanza shule zipi mlizopost? Hata sijaona!Hivi unakataa km mlikimbia ligi ya prinary schools
Hamna kitu hko, mkajitia mnakimbilia kw swc sasa ona mnaumbuliwa na shule za slums pekee
Mwakani vipi, manake tangi 2019 sisi tunasubiria mwakani tuMaumivu ya kichwa uanza taaratibu na maumivu yakizidi njoo TZ tukutulize. Only time will tell my dear Komora! 😀 😀 😀


Alishapost mwenzio akakimbia zote hzo 🤣🤣Hii hapa mbagathi girls ya kiberaView attachment 1670941
Za uswazi vipiAlishapost mwenzio akakimbia zote hzo![]()
Kujitoa ufahamu pia sio mbya..League ilikua za shule za msingi au shule kwa ujumlakwanza shule zipi mlizopost? Hata sijaona!
Good afternoon ichoboy01? was passing by again nikaona bado unalia lia na Mombasa😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 One area!! Eldoret kiboko ya Mwanza kabisa😂😂😂😂 cant even level with Machakos, Thika na Kiambu residentials kamwe! mbona kujifariji kaka?🤷♂️😂😛
Ukipata such👇👇 in Mwanza nafunga account!
Na ukipata residential Mwanza kama yenye iko hapa👇👇Eldoret nitag please..,
I meant kwamba nyie mna-boast sana kuhusu nchi yenu kulikohali halisi wakati sisi tukisema jambo ni kweli siyowatu wa kupika data na kujitukuza bila sababu. We always speak the truth as far as our country/nation is concerned, we never cook data or make baseless boasting.Bro hapo pa ku talk less and do more umedanganya😂😂😂 mnapayuka sana! Kelele kibao kutoka kwa mukulu na uzinduzi, mawaziri, na raiya, ni muda mrefu hamjaona maendeleo bado mnashangaa shangaa! Mlianza kwa kusherehekia lift, sasa ni flyovers na ni chache bado😂 wenzako wanakiri😂😂
👇👇👇
View attachment 1671016
Yuko slow sana na unajua Magu anataka mambo haraka.How....
Polepole ndio mwendo bibie au kawia ufike si unaona nyie na haraka zenu zote mkashushiwa na mchina porini hadi leo mmekwama huko porini na hamjui mtatokaje! 😀 😀 😀Mwakani vipi, manake tangi 2019 sisi tunasubiria mwakani tu![]()
Lete ushahidi hapa wa tunnels za double stack..Sijawahi kuona mkenya kilaza kama wewe, tunnels atengeze za kuaccommodate double stack, cable avurunde? Kaa kushoto na argument zako za kipimbi![]()
Mkafeli wapi na nyie kuunga tela?Kujitoa ufahamu pia sio mbya..
Mliona hali ya primary ni mbaya tena zetu za slums ikabidi mkashoot mpka kw technical schools..
...ukipata residential kama hii ya maeneo ya Mtwapa, Mombasa in Mwanza, tag me nitazame.., 😂 😂
👇 👇👇
LOL kwa hiyo serikali iliyoagiza 50 double stack container wagons hawana akili, wewe ndio mwenye nazo?Lete ushahidi hapa wa tunnels za double stack..
Cable tayari keshachemsha, we wajua cables za double stack zinakaje kwanza au ni kelele unatupigia tu hapa..
Huyo mkorea anawauzia treni zipi hzo za double stack