Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah hili lipo wazi ila trust me kwa Magu watakua na supervision ya kufa mtu, pia ujue hii kitu ni pesa yetu yote kwa hiyo lazima wajenge kwendana na viwango vyetu.
Acheni kuongea upupu hapa, mnafikiria dunia nzima nani anamuingia mchina katika sekta ya reli
 
Anaujua ukweli mbn, na sio yeye tu watu wote waliowahi kutembelea hii thread kwa ss huwaambii kitu kuhusu Tz na Kenya, wanajua kwamba Tz kwa ss iko mbele ya Kenya kwa mambo mengi sana.

The only thing left, and probably makes Kunyans brag about is the GDP ushuzi inayonuka madeni.

Eti Wakenya siku hizi wanajifanya wanashangazwa na maendeleo yaliyopo Tz, eti walikuwa hawajui km Tz imeendelea hv as if wao ni developed country, wakenya kweli wana mambo, licha ya shida walizonazo lkn bado ni majeuri.

Ila twende nao taratibu cz wameshaanza kuelewa kwamba walikuwa wanaongopewa toka wapo shule
Mna uhaba wa madarasa nchi nzima na hyo ni fact, sasa hapo mumendelea wapi katika sekta ya elimu..

Au maendeleo ni kufanya vitu ambavyo mwenzio kakutangulia karne iliyopita

Kweli maskini akipata matako hulia mbata..
Yani mumejenga madaraja, barabara karne hii basi mnajikuta hamna km nyinyi dunia nzima
 
Uyu Waziri wa Mambo ya Nje ya China nahisi atashangaa sana kwa jinsi Tanzania inavyompa heshima kubwa, maana anafungua Jengo ambalo lina jina lake kama Binadamu lazima aone utofauti wa Urafiki wa China na Tanzania ukilinganisha na Nchi nyingine za Africa alizotembelea.

IMG_0932.jpg


Na kama haitoshi atashangazwa na Nchi ya Africa ambayo ina saini mkataba wa Matrilion wa mradi wa SGR mbele yake ikiwa Makampuni ya China ndo yanayotekeleza bila sumni ya kutoka China kwake itakuwa maajabu maaana nimesikia Raisi Xi jping alikuwa ana mute simu za kenyata akiomba Mpunga...mara ya mwisho akaweka Flight mode maana kila saa jamaa anapiga simu ...uyu Waziri atarudi kumsimulia Rais wake wa China kwa muvi la kutisha aliloliona Kwenye Neflix ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom