Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass barabara za tz zina michoro safi,muache kusemaga eti barabara za tz sio marked
View attachment 1670434
Anaujua ukweli mbn, na sio yeye tu watu wote waliowahi kutembelea hii thread kwa ss huwaambii kitu kuhusu Tz na Kenya, wanajua kwamba Tz kwa ss iko mbele ya Kenya kwa mambo mengi sana.

The only thing left, and probably makes Kunyans brag about is the GDP ushuzi inayonuka madeni.

Eti Wakenya siku hizi wanajifanya wanashangazwa na maendeleo yaliyopo Tz, eti walikuwa hawajui km Tz imeendelea hv as if wao ni developed country, wakenya kweli wana mambo, licha ya shida walizonazo lkn bado ni majeuri.

Ila twende nao taratibu cz wameshaanza kuelewa kwamba walikuwa wanaongopewa toka wapo shule
 
. Maendeleo ya ujenzi wa sarenda bridge .. hii ni mpya guys wiki kadhaa au mwezi mmoja hiv
. Kwenye miradi ya UPGSP jafo amefanya poa sana hivi inakuaje Kenya wanakuaga na bajeti kubwa ila ikija kwenye utekelezaji ni hamna kitu.? Sisi na wao Nani taifa lenye nguvu.?
. Dodoma inapiga hatua kwa fujo .. Kenyans bye
asikudanganye mtu bro The best 007 hao wakenya hawatuwezi ..mambo aliyoyafanya magufuli ingewachukua miaka mitano wao ingawachukua miaka thelasini kuyakamilisha
Mkuu hii ni hatari sana, yn Tz imeshangaza sn, imeipa heshima East Africa.
 
. Hi nayo ni kwa tanzanians watembezi tu chunya uko mbeya.. Teargass njoo uone tz ina barabara za lami za kushato
Huwa hawapendi kuona tukimsifia Magufuli wanasema eti wao hawaabudu mtu, hawajui kwamba hiyo ndiyo tofauti ya mtz na mkenya.

Wakenya sio civilised na hawana muunganiko wa kitaifa so misamiati ya kushukuru haipo ndani ya Kunyaland.

Sisi lazima tushukuru cz ndo tulivyofunzwa hivyo tng tukiwa wadogo, lkn pia tabia hii ya kushukuru inafanya viongozi wazidi kujiona wana deni, tofauti na viongozi wa nchi zingine wanaona kila wanachofanya ni bure tu ndo mana wanaamua kupiga
 
Huyu jamaa battle ya shule imemtoa kamasi kaamua kuanzisha uzi mbadala.

Nishamualika aje asaidie wakenya wenzake huku wamechapwa vibaya kwenye battle ya shule za Govt
 
Kutoka Geita, Chato.!

IMG_4622.jpg
 
. Yaani usije ukajidanganya kabisa kuhusu Arusha wewe Teargass eti inazidiwa na kisumu 😂😂.. mpaka maeneo yasiyopangwa yametandikwa lami .alaf kila siku kujifariji tu hum

Hawa jamaa ni majanga siku zote! The whole of Kisumu haina 5 star hotel wala conference center! Halafu mburura ana-dare kuilinganisha na Arusha city a safari capital of Africa! Itakuwa kuna fuse imechomoka kichwani! Si haba!
 
. Fun city kigamboni . Nje ya dar wewe Tony254 sio investment za private tutoring hadi serikali . Hiv unajua kwamba shirika letu la nyumba ndio best East Africa.?

Yaani wewe mtu mzima unanionyesha bembea za watoto? Ama unadhani sisi hatuna bembea za watoto?
 
Inakaa majirani wametimka sioni wakijibu! Wanaugulia habari yaSGR phase III lot 5!

Tony254 upo wapi?

Hii thread imeshakuwa chungu kwa wakenya



Tanzania kujenga si mchezo, lazima wapotee kwa mda
300 km (Dar-Moro SGR) U/C
426 km (Moro-Makutupora SGR) U/C
341 km (Isaka-Mwanza SGR) contract to be signed today

Isaka-Kigali SGR tunasubir AfDB waapprove mzigo
 
Back
Top Bottom