Hahahaha yaani kiringi chao chote hakitaki hata kusikia kuhusu hii kitu, kuna yule jana alikua akishangilia ushindi sijui hata kafia wapi? 🤣🤣Ngj aje na hoja ya shule af tuanze upya ila hawezi kuirudia hii battle![]()
Yeah hili lipo wazi ila trust me kwa Magu watakua na supervision ya kufa mtu, pia ujue hii kitu ni pesa yetu yote kwa hiyo lazima wajenge kwendana na viwango vyetu.Ila tofaut yao inakuja kwenye quality mturuki akiweka kitu anaweka kitu under european standards yani kitu unasahau kabisa