nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
middle income country hahahaha
middle income country hahahaha
Umetumia haki yako kutoa maoni! Hata hivyo maoni yako hayana usahihi sana! Utatuelewa 2025 maana kwa Sasa ni wazi hujaNg'amua! Historia ya serikali hii ni kuvunja rekodi za 'projections' zenu!Server za JF mnazijaza aisee.....same pictures over and over
Anyways, my contribution here is this
1) Dar es Salaam and Nairobi are both large cities by African standards, with Dar leading in terms of geographical size and population but Nairobi still ahead economically - that is in Gross Metropolitan Product (GMP) terms
2) Dar es Salaam will have crossed the 10 million residents mark by 2030, joining Kinshasa, Cairo, Lagos, Luanda and Johannesburg to be the only African megacities by then
3) Dar es Salaam will lift the most people out of poverty of any other African city.
4) Proper urban planning will be critical for both Nairobi and Dar es Salaam particularly hapo kwenye urban infrastructure. I have to say Nairobi is kind of ahead of Dar es Salaam in this; the roads there are spacious and not to mention the flyovers and the expressways. Dar es Salaam needs to catchup fast kwenye barabara focus isiwe sana kwenye majengo tu.
5) We need to stop focusing much on our cities and more on our rural population, which comprises over 70% of our populations. I hate to say this but Magufuli's government is not pro-poor as he famously claims it to be!
Sisi matajiri 🤣🤣 lakini pesa yakulipa wahudumu wa afya hawana
tega sikio na macho, usikie na kuona mkataba ukisainiwa! siye hatuchukui mkopo kwa Mwanza-Isaka lot na hata tukija kuchukua hatuchukui mikopo ya Ufalamanga! Naomba usianze ujinga wa kipuuzi!Nyinyi pia mtajenga hii reli ya deni ya China.
Najua huna evidence. Wacha tungoje.tega sikio na macho, usikie na kuona mkataba ukisainiwa siye hatuchukui mkopo kwa Mwanza-Isaka lot! naomba usianze ujinga wa kipuuzi!
Hao wanauliza hivyo kutokana na kilichopo kwenye barabara zao, nyingi hazipo marked the same way wanavyotafuta slums kwakuwa ndio maisha yao.Teargass barabara za tz zina michoro safi,muache kusemaga eti barabara za tz sio marked
View attachment 1670434
tega sikio na macho, usikie na kuona mkataba ukisainiwa! siye hatuchukui mkopo kwa Mwanza-Isaka lot na hata tukija kuchukua hatuchukui mikopo ya Ufalamanga! Naomba usianze ujinga wa kipuuzi!Najua huna evidence. Wacha tungoje.
naskia mlango wa floating bridge umekwama kufunguka!Najua huna evidence. Wacha tungoje.
90% ya barabara zenu hazijachorwa. Unadanganya nani?Teargass barabara za tz zina michoro safi,muache kusemaga eti barabara za tz sio marked
View attachment 1670434
Weka hapa evidencenaskia mlango wa floating bridge umekwama kufunguka!
evidence?90% ya barabara zenu hazijachorwa. Unadanganya nani?
pitia twitter posts za jana KOT!Weka hapa evidence
Acha kutukumbusha maumivu banaHaving fun at somewhere, watching my favorite team Manchester utd vs City (darby)View attachment 1670344View attachment 1670345View attachment 1670346View attachment 1670347View attachment 1670348View attachment 1670349