halafu kabakisha mwaka uno!Magu boy analeta heshima afrika,yan mchina anatoka kwake kuja TZ kuyapanga sio yule mlevi wa wakunya kila siku anapiga misele ya kutembeza bakuli ulaya na china na anachezea za uso
Hahahaha sijategemea kujua wakenya hawana shule kabisa, sasa hiyo elimu wanaosema ipo juu wanajifunzia wapi?Huyu jamaa battle ya shule imemtoa kamasi kaamua kuanzisha uzi mbadala.
![]()
Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa
Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...www.jamiiforums.com
Jamaa wanasikitisha mno. Utasikia wakisema wapo na shule nyingi. Ukiwaambia wazitaje hapo ndipo mtihani.Hahahaha sijategemea kujua wakenya hawana shule kabisa, sasa hiyo elimu wanaosema ipo juu wanajifunzia wapi?