Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwabia ni shule za serekali wanakasirika🤣🤣🤣👇👇
576BBE32-770C-4A1E-BD2D-E48690674C1E.jpeg
B9CBC774-F1A6-4292-AAFE-8CAE4A20B138.jpeg
1B931DF6-FAD5-4C24-B19A-57A5D771DB93.jpeg
 
SUNFLAG GROUP is a KENYAN COMPANY,Arusha factory is just a branch.Read HOME/SUNFLAG
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

uache,ujiga na utoto,huko alitangulia kufungua ila kutangulia kufungua haimaanishi kuwa hizi ni branch....na bado anampango wa kukuza wigo wake eastern europe mpaka amerca

hivi unajua meaning of branch kweli....?

we ni chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210104-102151_Chrome.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

uache,ujiga na utoto,huko alitangulia kufungua ila kutangulia kufungua haimaanishi kuwa hizi ni branch....na bado anampango wa kukuza wigo wake eastern europe mpaka amerca

hivi unajua meaning of branch kweli....?

we ni chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1667216
Nilimchokonoa makusudi ili ajibu nimlipue, bahati mby kagutuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
shell, equinor, pavilion, exonmobil, tpdc wanataka kuingia kwenye development stage kule mtwara yaani watengeneze LNG plant. yaani kama ingekuwa kwenye mafuta ndio tungesema wanataka kujenga bomba sasa. hii LNG plant itagarimu dola 30 bilioni. mazungumzo yanaendelea na site ishapatikana inaitwa likong'o.
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Nilimchokonoa makusudi ili ajibu nimlipue, bahati mby kagutuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
huwa wanaongea tu kama walevi hata hawafikirii mambo walitegemea companies ziendelee kustuck kenya tu kibiashara wakati miaka inaenda kampuni lazima zijikuze kibiashara .....wsnadhani hii ni 1950's[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Ulipitishwa lini? Pia vile vile bado atcl haimiliki ndege imefilisika, bichwa nundu ndio katumia mabavu kununua hzo ndege zote mnazoziona bila kujali hili wala lile..

Sasa hapo unabishia nini wewe bwege
Sasa hivi nimewavulia kofia mkuu. So you are just right genius. Ununuzi haujawahi pitishwa bungeni ndugu Einstein.

Nilikuwa nawaoneo huruma jinsi bro Magu anavyowanyoosha bila huruma ila now nishavuta kiti na glass ya juice pembeni. Naendelea kufurahia shoo. Acha muendelee kuchezea bakora. Huku wazungu huku Tz.
 
Mbona walialia na kujiumiza bure, unapaswa upinge kwa data[emoji1787][emoji1787]
Labda unambiw bunge la chato, 1.5 trillion hyo imechezewa bahati nasibu na wala hakuna wakuhoji[emoji1787]
Sasa hivi nimeacha kulialia na kujiumiza. Nimeketi nakaanga bisi na kufurahia kipindi. Jiwe baada ya jiwe. [emoji1866][emoji1866][emoji1866][emoji1866]

Ni mwendo wa spanner tu.
IMG_20200906_223648.jpg
 
Back
Top Bottom