Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nye nye nye sisi tunajenga meli
View attachment 1667205
Take it from me. Kenya ndiyo nchi pekee inayojiendesha kiujanja ujanja kwenye ukanda huu ukitoa nchi ndogondogo kama akina Burundi na S.S. Kwa jinsi Tshekedi anavyojaribu kuiendesha DRC usijeshangaa Kenya ikawa outran na majirani wote in the near future.

Maana kete yao kubwa ilikuwa kutufanya masoko yao na kubambia utalii wetu. Now that kila mmoja anatafuta lunch halali, kuna nchi haziwezi kujiendesha bila misaada.
 
IMG_1609746970.381950.jpg
 
Sasa hivi nimewavulia kofia mkuu. So you are just right genius. Ununuzi haujawahi pitishwa bungeni ndugu Einstein.

Nilikuwa nawaoneo huruma jinsi bro Magu anavyowanyoosha bila huruma ila now nishavuta kiti na glass ya juice pembeni. Naendelea kufurahia shoo. Acha muendelee kuchezea bakora. Huku wazungu huku Tz.
Zile 1.5 trilion ambazo matumizi yake hayajulikani vipi
Unajua mida mingine pia kutia huruma sio mbaya..
We umeshindwa kuleta mswada uliopitishwa basi kaba
 
Ww unaongea ujinga snaa mda mwingine niwakupuuzwa
Mbona Assad keshalisema hilo la matumizi mabaya ya fedha, 1.5trillion hasijulikani zilipo yani kaprodhesha sekta kibao ambazo fedha zinatumika kiholela..

Sasa wewe nenda kahoji km hukutundulisiwa
 
Na hii safari ya Wachina kuja kumuona JPM. China Railway watahusika.
China washausoma mchezo kuwa sisi sasa hivi tunataka win win deals. Hivyo wameona siyo ishu maana siyo kwamba fair deals haziwalipi. Ni ile tu walizoea kutuweka shamba la bibi kama wanavyowafanyia hao jirani zetu hapo juu.

Wachina ukiwakazia infrastructure zao ni nzuri sana tu. Tazara kwa mfano; ni iconic. Hii ndiyo sababu hata kipindi cha uchaguzi wamarekani walipoanza kujibaraguza China wakawapa onyo waache mambo yasiyowahusu.
 
Kaba ndula basi achana na feelings za kike
Feelings za kike ni kuwa na taifa la kike na serikali ya kike. Serikali ambayo haiweji kujitafutia pesa kwa ajili ya shughuli zake. Kila uchao na bakuli kwa mabeberu;

Naomba hela za corona (halafu zinapigwa),

Naomba unijengee express way,

Naomba unijengee SGR,

Hilo taifa ipo siku mtashtuka mmeuzwa tayari.
 
Back
Top Bottom