Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna haja ulie Just combine all the total revenues za hizo kampuni sasa alafu unitag kama revenue zao zitapita za Safaricom. Kitu nimegundua na nyinyi ni kuwa mnaogopa facts.

dogo ficha upumbavu wako!
revenue haziwezi kufanana! each operator has its own top management, branch managements, workers etc.. kamwe revenue haziwez kuwa uhalisia.. na sikuzote kwenye high competition revenues haiwezi kuzid revenues ya kwenye less competition
 
tumia akili.. ndo mana wanakuambiaga hunaga akili..
sisi tuna mobile operators zaid ya saba.. nyingi mnao chini ya wanne.. unataka mobile operator mmoja wa tanzania awazidi mobile operator wenu ambae yupo kwenye less competition tele industry???
View attachment 1667021
View attachment 1667022View attachment 1667024
Safaricom pekee ana market share zaidi ya 65% anafuata airtel mwenye market share 21%

in other words, unataka vodacom yetu mwenye market share ya 32% hamzidi safaricom mwenye market share ya 65%??
Sijakuambia uandike insha😂😂😂, I have only told you to add the total revenues of all the telecom companies in Tanzania so that we can compare with the revenues za Safaricom. Ama hesabu pia ni ngumu kwako?😂😂
 
Sijakuambia uandike insha, I have only told you to add the total revenues of all the telecom companies in Tanzania so that we can compare with the revenues za Safaricom. Ama hesabu pia ni ngumu kwako?

dogo ficha upumbavu wako!
revenue haziwezi kufanana! each operator has its own top management, branch managements, workers etc.. kamwe revenue haziwez kuwa uhalisia.. na sikuzote kwenye high competition revenues haiwezi kuzid revenues ya kwenye less competition

nafaham wew ni mbishi! na najua utaendelea kubisha!

in a simple way, leta transactions zilizofanywa na mobile operators wa kenya na wa Tanzania ndo utaona utofauti wake.. hapa najua kwenye high competition, transactions ndo huwa kubwa
 
dogo ficha upumbavu wako!
revenue haziwezi kufanana! each operator has its own top management, branch managements, workers etc.. kamwe revenue haziwez kuwa uhalisia
Wewe ni kama unatype ukilala😂😂😂. Umesema kuwa Safaricom iko na revenues mingi juu imeshika market kubwa Kenya. Umesema pia kuwa kampuni za simu huko Tanzania ni mingi na ndio maana nikakuambie uunganishe mapato ya hayo makampuni zote tulinganishe ni ya Safaricom tuone kama mapato ya hayo makampuni zote can reach to the level of safaricom. Is that hard to do really?😂😂😂
 
nafaham wew ni mbishi! na najua utaendelea kubisha!
Ebu jumuisha mapato ya kampuni zote za simu huko Tanzania utambie ni ngapi😂😂😂. Na ukikataa ntafanya pekee yangu😂😂
 
Wewe ni kama unatype ukilala. Umesema kuwa Safaricom iko na revenues mingi juu imeshika market kubwa Kenya. Umesema pia kuwa kampuni za simu huko Tanzania ni mingi na ndio maana nikakuambie uunganishe mapato ya hayo makampuni zote tulinganishe ni ya Safaricom tuone kama mapato ya hayo makampuni zote can reach to the level of safaricom. Is that hard to do really?

enh.. anaiweza kumuelezea huyu amueleweshe! siwezi muuelezea zero brain
 
Wewe ndio hujielewi😂😂
Sasa kama ninyi bundles mnauziwa karibu 3 times expensive zaidi ya Tanzania unategemea nini?

Provider's charges na government tariffs kwenye huduma za mitandaoni na karibu huduma na bidhaa zote Kenya ni mara 2 mpaka 4 ya Tanzania

Angalia kwenye mobile money transactions tumewapita gape la dollar billion 1

Ni pesa ndogo hii?

Polish_20201122_054013465.png
 
nafaham wew ni mbishi! na najua utaendelea kubisha!

in a simple way, leta transactions zilizofanywa na mobile operators wa kenya na wa Tanzania ndo utaona utofauti wake.. hapa najua kwenye high competition, transactions ndo huwa kubwa
safi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa
Sasa kama ninyi bundles mnauziwa karibu 3 times expensive zaidi ya Tanzania unategemea nini?

Provider's charges na government tariffs kwenye huduma za mitandaoni na karibu huduma na bidhaa zote Kenya ni mara 2 mpaka 4 ya Tanzania

Angalia kwenye mobile money transactions tumewapita gape la dollar billion 1

Ni pesa ndogo hii?

View attachment 1667077

jamaa anataka revenues comparison, wakati huku kwetu kila mobile operators anatakiwa atoe hela ya matumizi (expenditures) au gharama nyingine kwa top management yote, branches management wote na wafanyakazi wote

na transactions nyingi ndo inadetermine wapi kuna soko zuri
 
safi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa

jamaa anataka revenues comparison, wakati huku kwetu kila mobile operators anatakiwa atoe hela ya matumizi (expenditures) au gharama nyingine kwa top management yote, branches management wote na wafanyakazi wote

na transactions nyingi ndo inadetermine wapi kuna soko zuri
Kama ana ubavu atuletee total business transactions au total mbs, minutes, sms zilizouzwa kwa wakenya kutoka mitandao yao yote tulinganishe na Tanzania

Na sio kutuletea revenues wakati viwango vya charges na kodi vinatofautiana Tanzania na Kenya

Kama wao dakika 1 inachajiwa kodi na gharama za provider sh 50 wakati Tanzania ni sh 15 hatuwezi kuwa sawa kwa kuangalia revenue earnings

Huyu jamaa akili hana
 
safi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa

jamaa anataka revenues comparison, wakati huku kwetu kila mobile operators anatakiwa atoe hela ya matumizi (expenditures) au gharama nyingine kwa top management yote, branches management wote na wafanyakazi wote

na transactions nyingi ndo inadetermine wapi kuna soko zuri
Yani huyu demu Teargass ni kabishi mno, haka kana akili za mkunya wa 90s yn ni kakunya original kabisa kabisa, vikunya dizain hii ndio vinasababisha crisis iendelee kunako Kunyaland.

Ss vijitu namna hii ndio vinapelekea Magu ana ban Kenya ktk kila kitu mana vinasaidiwa lkn ni vijeuri hakuna mfano.

Eti kinasema kabisa bila woga eti "unganisha kampuni zote tuone kama itazidi safaricom" as if hyo kampuni ni ya China au America.

Ni kapumbavu sn haka kajitu.
 
Mbona walialia na kujiumiza bure, unapaswa upinge kwa data
Labda unambiw bunge la chato, 1.5 trillion hyo imechezewa bahati nasibu na wala hakuna wakuhoji
Ww unaongea ujinga snaa mda mwingine niwakupuuzwa
 
Back
Top Bottom