Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe unaeka imported wakati mimi nakuekea zenye zimekuwa assembled in Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliekudanganya master ni assembly plant nani???🤣🤣🤣🤣🤣 aisee muna safari ndefu sana nilikua nafkiri 21st century labda mumeacha kale katabia ka sifa za uongo kumbe bado tu 😅😅😅😅😅 dunia ya leo unamdanganya nani kila kitu kiko wazi
 
Siku utapata assembly plant ya scania africa nje ya south africa unitag mm nasubiri[emoji1787][emoji1787]
So Kenya sio nchi ya Africa tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20210103_115352_931.JPG
 
Sasa wewe unaeka imported wakati mimi nakuekea zenye zimekuwa assembled in Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwa taarifa tu ni kwamba, katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati Scania imepata mafanikio makubwa na mauzo ya juu zaidi Tanzania. Na ndio maana mkuu wa Scania Tanzania amepata shavu la kuongoza Scania ukanda huu wote. So ni kwamba Scania Tanzania ndio inaongoza ukanda huu.

Asante.
 
You reason like a dog[emoji23][emoji23]

wacha waendelee kujipamba na data zao za mlipuko[emoji1][emoji1].

sisi tunakwenda bampa to bampa ground.
 
Hasira kitu gani? Sasa tukianza kureason venye huyo jamaa anareason si tutasema kuwa Ethiopia ndio biggest contributor towards World Health organization that's why Head of WHO ni Ethiopian?[emoji23][emoji23][emoji23]
hasira[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hasira kitu gani? Sasa tukianza kureason venye huyo jamaa anareason si tutasema kuwa Ethiopia ndio biggest contributor towards World Health organization that's why Head of WHO ni Ethiopian?[emoji23][emoji23][emoji23]
kwani umesahau huwa mnasema HQ nyingi ziko nairobi sababu kuna wateja wengi[emoji23][emoji23][emoji23].

shida ya mkenya anasahau kama kuku[emoji16][emoji16]
 
MY TAKE
Hapa Kadogosa anapaswa kuwajibika! Mvua inapinyesha ukaguzi ni lazma kabla treni haijapita! Haiwezekani upotevu wa maisha na uharibufu wa mali za TRC uendelee hivi!
 
Kwani ni uongo? HQ nyingi ziko Nairobi kwa sababu ya huge skilled human resource in Kenya, ama ulitaka ziwe Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]
kwani umesahau huwa mnasema HQ nyingi ziko nairobi sababu kuna wateja wengi[emoji23][emoji23][emoji23].

shida ya mkenya anasahau kama kuku[emoji16][emoji16]
 
Yule mwenye alikuwa anataka kuona assembly plant ya Scania yenye iko Nairobi amepotea tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom