Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo wa "rudia rudia" naye sikusumbuana naye juu ni hawker wa korosho kule Lindi
Mzee wa repeat again, a.k.a dung from North
JamiiForums816504130.jpg
JamiiForums946629818.jpg
JamiiForums1627819178.jpg
JamiiForums1030151554.jpg
Screenshot_20201230-144142.jpg
JamiiForums-301206594.jpg
 
KDF babayao. Wengine ni waoga hata kuingia Mozambique imewashinda😂😂👇

IMG_20210103_182640_774.JPG
 
tumia akili.. ndo mana wanakuambiaga hunaga akili..
sisi tuna mobile operators zaid ya saba.. nyingi mnao chini ya wanne.. unataka mobile operator mmoja wa tanzania awazidi mobile operator wenu ambae yupo kwenye less competition tele industry???
View attachment 1667015View attachment 1667016
Safaricom pekee ana market share zaidi ya 65% anafuata airtel mwenye market share 21%

in other words, unataka vodacom yetu mwenye market share ya 32% hamzidi safaricom mwenye market share ya 65%??
Hakuna haja ulie😂😂😂 Just combine all the total revenues za hizo kampuni sasa alafu unitag kama revenue zao zitapita za Safaricom. Kitu nimegundua na nyinyi ni kuwa mnaogopa facts😂😂😂.
 
Hakuna haja ulie Just combine all the total revenues za hizo kampuni sasa alafu unitag kama revenue zao zitapita za Safaricom. Kitu nimegundua na nyinyi ni kuwa mnaogopa facts.

tumia akili.. ndo mana wanakuambiaga hunaga akili..
sisi tuna mobile operators zaid ya saba.. nyingi mnao chini ya wanne.. unataka mobile operator mmoja wa tanzania awazidi mobile operator wenu ambae yupo kwenye less competition tele industry???
IMG_1609709413.771604.jpg

IMG_1609709428.420561.jpg
IMG_1609709440.350632.jpg

Safaricom pekee ana market share zaidi ya 65% anafuata airtel mwenye market share 21%

in other words, unataka vodacom yetu mwenye market share ya 32% hamzidi safaricom mwenye market share ya 65%??
 
Back
Top Bottom