Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hao ndiyo wakenya bhana endelea kuwa enjoy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanzoni nilikuwa nawabishia akina Geza Ulole kwamba nyie watu hamko sawa. Ila sasa nimeanza kuelewa. Ki ukweli kuna shida kubwa kwenye hivyo vichwa. Mie husoma kila bajeti ya ujenzi na miundombinu, na wizara ya fedha kila mwaka.

Kwa mtu aliye timamu hawezi kuja hapa na kusema ununuzi wa ndege haukupitishwa bungeni! It's very pathetic.
welcome to the club brother!
 
Hii hapa ndio itakumaliza kabisa, hii imeonyesha "Similarities na differences zote. Hii imeeleza waziwazi kwamba, DNA some times occurs as Single strand, and RNA also some times occurs as double strand, therefore this difference can't be used as main difference to differentiate them [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni aibu gani hii kwa mtu mwenye degree ya Microbiology kufundishwa na Form Four ya div 4, hivi huko Kenya mpo na matatizo gani?, kila kitu hamjui mnategemea wachina, zaidi ya Kiingereza na Ukabila, kitu gani tena mnajua?
Uko na ujinga ya mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa nimeelewa kuwa hujui kitu unaongelea. DNA can only become single stranded during replication, a stage where both strands separate to serve as templates. Wewe shidako unasoma kitu google alafu unaileta hapa bila kuielewa. Kweli wewe ni form four leaver[emoji23][emoji23].
 
nilikuwa nagoogle hii hospitali.. wanasema ni ya wanavitengo .. ipo pale makumbusho kati ya millennium tower na merrywater

haya majengo “apartments” pemben ni ya kwao pia au
IMG_1609705292.019544.jpg
 
Wapuuzi sana hawa ball boys wa mabeberu. Niliwatetea sana mwanzo nikidhani wanaonewa. Kumbe usikute nao walikuwa wananichora tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bure kabisa.
Mkunya huwezi kumtetea hata kdg, yn hata vitani km umeamriwa uchague mmoja wa kuuwa kati ya mkunya au mwarabu, mchina, mhindi au mzungu, my friend usijiulize kabisa UWA MKUNYA utakuja kunishukuru baadae [emoji3][emoji3]
 
Mwanzoni nilikuwa nawabishia akina Geza Ulole kwamba nyie watu hamko sawa. Ila sasa nimeanza kuelewa. Ki ukweli kuna shida kubwa kwenye hivyo vichwa. Mie husoma kila bajeti ya ujenzi na miundombinu, na wizara ya fedha kila mwaka.

Kwa mtu aliye timamu hawezi kuja hapa na kusema ununuzi wa ndege haukupitishwa bungeni! It's very pathetic.
Ulipitishwa lini? Pia vile vile bado atcl haimiliki ndege imefilisika, bichwa nundu ndio katumia mabavu kununua hzo ndege zote mnazoziona bila kujali hili wala lile..

Sasa hapo unabishia nini wewe bwege
 
Wapuuzi sana hawa ball boys wa mabeberu. Niliwatetea sana mwanzo nikidhani wanaonewa. Kumbe usikute nao walikuwa wananichora tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bure kabisa.
Mbona walialia na kujiumiza bure, unapaswa upinge kwa data[emoji1787][emoji1787]
Labda unambiw bunge la chato, 1.5 trillion hyo imechezewa bahati nasibu na wala hakuna wakuhoji[emoji1787]
 
Mkunya huwezi kumtetea hata kdg, yn hata vitani km umeamriwa uchague mmoja wa kuuwa kati ya mkunya au mwarabu, mchina, mhindi au mzungu, my friend usijiulize kabisa UWA MKUNYA utakuja kunishukuru baadae [emoji3][emoji3]
Kilio chote hicho ni vile tumewazidi[emoji1787][emoji1787]
 
Uko na ujinga ya mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa nimeelewa kuwa hujui kitu unaongelea. DNA can only become single stranded during replication, a stage where both strands separate to serve as templates. Wewe shidako unasoma kitu google alafu unaileta hapa bila kuielewa. Kweli wewe ni form four leaver[emoji23][emoji23].
Correction!! Form four wa tz akija kwetu hakalii KCSE anarudia form 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Imagine mtu anajifanya mjuaji na hajui kuwa DNA can only be single stranded during replication[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo point pekee imefanya nigundue kuwa jamaa kanabishana na vitu amesoma kwa google vile tu kuna mwingine hapa alikuwa anasema ati "repeat again" in Swahili is "rudia rudia"[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Mi bio niliipiga teke lakn hapo pa "rudia rudia" ndio paliniacha hoi jana
 
Hizi picha nmepiga leo ni za mitaa ya kinondoni, yn roads za mitaani ziko bomba ile mby [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji90][emoji90]
IMG_20210103_095133_022~2.jpg
IMG_20210103_095205_235~2.jpg
IMG_20210103_095136_423~2.jpg
IMG_20210103_095114_363~2.jpg
 
Back
Top Bottom